Zanzibar | Special Thread

Mkuu una dada yako aliezalishwa na mpemba?
 
Mtihani. Wadada wengine wanajilengesha kusudi apate mtt chotara mwenye rangi nyeupe na nywele.

Na hao unaowaita dada zenu kutoa........ hawana khiyana. Si husema walichopewa na Mungu kumnyima mtu ni dhambi!!!
 
Ni kweli kabisa uliyosema Mkuu, nilipewa nyumba yenye familia ambayo aliishi Bibi Mzee na vijana wawili ambao ndio walionipokea (nina wasiwasi wana asili ya kiburush) palitulia sana ila ilikuwa kipindi cha Mfungo wa Ramadhani kwa hiyo Mchana hakukuwa na mihangaiko au rabsha
ee Bwana ilipofika km saa 4 za usiku hadi alfajiri mitaa yote ilichangamka pilikapilika zilishamiri.
Kitu nilichojifunza hasa kule Mji Mkongwe wengi w watu wazima ni kupumzika vijiweni na stori za kwenda Arabuni yaani ni tofauti na Kariakoo au Manzese
Safari hii nitatafuta mwenyeji anioneshe hizo Guest za Mji mkongwe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naomba connection ya sehemu nayoweza kuapata mzigo wa smartphone /Laptop huko znz wakuu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…