Zanzibar | Special Thread

Zanzibar | Special Thread

Wana tabia ya kuwa zalisha dada zetu na kuwa telekeza na watoto, na hawa ruhusiwi kusema Kwa wazaz wao kama wamezaa nje ya ndoa, kwaiyo mtoto ata lelewa na mwanamke mpaka ata kuwa mkubwa hasimjue Baba yake na ndugu wa upande wa Baba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu una dada yako aliezalishwa na mpemba?
 
Wana tabia ya kuwa zalisha dada zetu na kuwa telekeza na watoto, na hawa ruhusiwi kusema Kwa wazaz wao kama wamezaa nje ya ndoa, kwaiyo mtoto ata lelewa na mwanamke mpaka ata kuwa mkubwa hasimjue Baba yake na ndugu wa upande wa Baba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtihani. Wadada wengine wanajilengesha kusudi apate mtt chotara mwenye rangi nyeupe na nywele.

Na hao unaowaita dada zenu kutoa........ hawana khiyana. Si husema walichopewa na Mungu kumnyima mtu ni dhambi!!!
 
Yule mpemba ni muongo sana, anaongea uongo mbele ya watu wazima.
Anasema guest zipo nyingi!!.
Sisi wengine tushakuwa wenyeji, najua guest bubu nyingi tu na hazipo rasmi zile rasmi zipo pembezoni mwa mji.
Na nyingi ya hizo unakuta mtu alikuwa na familia ambapo watoto wamekuwa wamesepa arabuni au wapo Tanganyika so nyumba imebaki tupu wanaamua kupangisha na bei haizidi 10,000/- per night labda iwe self inazidi kidogo sana.
Ni kweli kabisa uliyosema Mkuu, nilipewa nyumba yenye familia ambayo aliishi Bibi Mzee na vijana wawili ambao ndio walionipokea (nina wasiwasi wana asili ya kiburush) palitulia sana ila ilikuwa kipindi cha Mfungo wa Ramadhani kwa hiyo Mchana hakukuwa na mihangaiko au rabsha
ee Bwana ilipofika km saa 4 za usiku hadi alfajiri mitaa yote ilichangamka pilikapilika zilishamiri.
Kitu nilichojifunza hasa kule Mji Mkongwe wengi w watu wazima ni kupumzika vijiweni na stori za kwenda Arabuni yaani ni tofauti na Kariakoo au Manzese
Safari hii nitatafuta mwenyeji anioneshe hizo Guest za Mji mkongwe
 
😂😂😂
 
Mkuu tarehe ngapi inafanyika niitokee
Tulishachapa mwendo kitambo sana...
IMG_0772.JPG

Subiri next season.
 
Naomba connection ya sehemu nayoweza kuapata mzigo wa smartphone /Laptop huko znz wakuu...!
 
Back
Top Bottom