Zanzibar | Special Thread

Hello everyone
A 5 star hotel situated at Paje in zanzibar is looking for an experienced boutique lady who will be working in the shop.The attendant should have at least 3 years of 5 star experience in the boutique.
Please contact us through:
+255654981815(WhatsApp )
+255683586070 .
 
Mimi nipo Zanzibar kwa muda wa miaka mitatu sasa. Ninashukuru ninajua kona na almost deal zote za Unguja kama michongo ya ajira, elimu, biashara, utalii na michezo. Kama kuna mhitaji katika hayo njoo inbobo tuyajenge
 

Root

Zanzibar kuna mtaa wanaita Mlandege, upo karibu na eneo la bandari, hapo kuna guest house kadhaa moja wanaita Paradise, Kuna moja wanaita Baraste ninazozikumbuka, ila gharama zake nahisi ndio humo 35 - 70, mana mara ya mwisho mimi nililipa 40 ila makodi kila siku yanazidi nahisi pengine bei zinaweza kuwa zimesogea kidogo.​

 
Tujiunge kama itakupendeza mwenyewe nna hesabu ya kukaa juma moja tu ktkt ya December
Bei za Desemba haxishikiki huko. Labda uwe kama akina Dis, ond unafikia uchochoroni then mchana unaenda hotel kubwa kupiga picha za kuoshea. [emoji23][emoji23][emoji23]

Ni kweli buts it's a joke
 
Kuna fursa gani huko nije niweke kambi mtaji wa milion 1

kwa milioni 1 labda uweke meza uuze matunda mkuu, ni ndogo sana kwa uwekezaji kwa Zanzibar, kuko expensive sana kwenye masuala ya kibiashara
 
Mimi nipo Zanzibar kwa muda wa miaka mitatu sasa. Ninashukuru ninajua kona na almost deal zote za Unguja kama michongo ya ajira, elimu, biashara, utalii na michezo. Kama kuna mhitaji katika hayo njoo inbobo tuyajenge
Mkuu si myajenge hapa hapa tunufaike wote
 
kwa wanaoishi zenj, wapi unaweza kupata kununua samaki wa maji baridi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…