Zanzibar: Tuliialika Yanga SC baada ya kupata kura nyingi

Utopolo na sifa za ndondo za vidimbwi mmealikwa kucheza na vinguchiro vya mchamba pwatupwatu na mauoloojo naona mwabwata na kubwaka, twawapa hongera hizo zenu.
 
ni kweli simba ilikuwa vizuri but sio now mkuu .........haipo on trending kama yanga
Kipi kigeni kwa yanga ya msimu huu kinacho itofautisha na yanga ya msimu uliopita?

Kuongoza ligi?

Mbona mwaka jana iliongoza ligi kwa mechi zaidi ya 14 ikiwa unbeaten?

Kama unafikiria yanga ya saizi iko vizuri, ebu fikiria ile yanga ya msimu uliopita ilivyokua mpaka hersi akaahidi endapo hawatapata ubingwa mashabiki wamfate yeye na wamuulize

Au tuseme yanga ya saizi ni moto kwasababu ina mayele anayesifika?

Lakini utakumbuka mwaka jana tulikua na yanga yenye kalinyo ambaye alibebwa juu juu kwa sifa tele zaidi ya huyu wa sasa

Au tuseme yanga ni moto kwasababu kuna manara?
 
😁😁😁 simba ni yanga ...... but yanga sio simba
Ndio mkuu mwaka 1935 ilianzishwa Yanga, baadae 1936 makolo wakajitoa Yanga kwenda kuanzisha timu yao the queens na baadae sunderland then Simba. Kwa hiyo Simba ni tawi la Yanga.
 
usiku mwema mkuu..........................tukutane kesho 😀😀
 
Ndio mkuu mwaka 1935 ilianzishwa Yanga, baadae 1936 makolo wakajitoa Yanga kwenda kuanzisha timu yao the queens na baadae sunderland then Simba. Kwa hiyo Simba ni tawi la Yanga.
daaaah ko wanaume wazima wakajiita THE QUEENS
 
Ndio mkuu mwaka 1935 ilianzishwa Yanga, baadae 1936 makolo wakajitoa Yanga kwenda kuanzisha timu yao the queens na baadae sunderland then Simba. Kwa hiyo Simba ni tawi la Yanga.
Inaonekana uko interested na historia ebu tuambie hiyo 1935 ya mwezi gani?

Maana usikute ni mwezi wa 12 tarehe 27 baada ya xmas afu mnakuja kuvimba kindezi
 
fuatilia timu inayocheza mpira mwingi na wakuvutia ni ................YANGA

Wewe Jamaa hujui hata maana ya Kutrend.
Simba ndiyo Mfalme wa Kutrend Nchi hii na Juzi tu wamepokea Tunzo ya kuwa Timu inayofuatiliwa zaidi Afrika kwenye Instagram. Sio Tanzania tu bali ni Afrika.
 
Wewe Jamaa hujui hata maana ya Kutrend.
Simba ndiyo Mfalme wa Kutrend Nchi hii na Juzi tu wamepokea Tunzo ya kuwa Timu inayofuatiliwa zaidi Afrika kwenye Instagram. Sio Tanzania tu bali ni Afrika.
Weka ushahidi acha kuleta chupli chupli
 
Ongeza sauti kidogo hawajasikia hukooo
 
Simba tugomeee hiyo ndondo yao Mapinduzi cup au tupeleke watoto under 20
Nadhani inafahamika kuwa Yanga Ina fanbase kubwa visiwani kuliko bara. Hilo hata kilaza Gentamycine anajua. Wala Hilo Halina haja ya kuntia mtu shipa
 
Mfano mikia wangepata kura nyingi maskini sijui wangeonesha nn mpira wao ule hauvutii tena
 
Nakualiana na hoja yako, naaminj wewe unajua falsafa ya mahusiano michezoni kuliko wengine hapo juu waaoongea kwa mihemko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…