Waboa Sana hawa watuu Simba ya kupata kura 400+???Mimi ni yanga ila nimecheka Sana. Duh mikia nyie ni hatari kwa kuchamba.
hilo sikupingi mkuu....ila ni kwamba tangu msimu ulivyoanza ni timu gan ambayo inacheza mchezo wa kuvutia plus kujiamin ........jibu ni YANGAWewe Jamaa hujui hata maana ya Kutrend.
Simba ndiyo Mfalme wa Kutrend Nchi hii na Juzi tu wamepokea Tunzo ya kuwa Timu inayofuatiliwa zaidi Afrika kwenye Instagram. Sio Tanzania tu bali ni Afrika.
Mbona unapindisha mambo? Imeelezwa kwamba kati ya watu elfu tano waliopiga kura. Haikusemwa kwamba kila Mzanzibari alipiga kura.Yanga imeongoza kwa kura 4900 kati ya kura 5500, ni Nchi gani hiyo yenye wananchi 5500?
Halafu nchi gani hiyo ambayo wananchi wa club hiyo kwenye mitandao ya kijamii followers kwenye page ya timu yao hawazidi 1M?
Kama uliokuwepo umetaja kakonko niliishi Sana eneo lile umejuaje au wewe mchawiSherehe ilikuwa ya Zanzibar na walipiga kura na Wazanzibari, wewe wa Kakonko unalalamika nini sasa?
zuzu ktk ubora wako. Mimi siwezi shabikia hicho kikundi cha wahuni.Makolo
Unapanic nini nyoko wewe, hao waliopiga kura sio makolo kama wewe, ni watu wenye uelewa mpana.
Umeumia sana kuambiwa Yanga ni timu ya Wananchi