Zanzibar: Tuliialika Yanga SC baada ya kupata kura nyingi

Zanzibar: Tuliialika Yanga SC baada ya kupata kura nyingi

Wewe Jamaa hujui hata maana ya Kutrend.
Simba ndiyo Mfalme wa Kutrend Nchi hii na Juzi tu wamepokea Tunzo ya kuwa Timu inayofuatiliwa zaidi Afrika kwenye Instagram. Sio Tanzania tu bali ni Afrika.
hilo sikupingi mkuu....ila ni kwamba tangu msimu ulivyoanza ni timu gan ambayo inacheza mchezo wa kuvutia plus kujiamin ........jibu ni YANGA
 
Yanga imeongoza kwa kura 4900 kati ya kura 5500, ni Nchi gani hiyo yenye wananchi 5500?

Halafu nchi gani hiyo ambayo wananchi wa club hiyo kwenye mitandao ya kijamii followers kwenye page ya timu yao hawazidi 1M?
Mbona unapindisha mambo? Imeelezwa kwamba kati ya watu elfu tano waliopiga kura. Haikusemwa kwamba kila Mzanzibari alipiga kura.
 
Makolo

Unapanic nini nyoko wewe, hao waliopiga kura sio makolo kama wewe, ni watu wenye uelewa mpana.

Umeumia sana kuambiwa Yanga ni timu ya Wananchi
zuzu ktk ubora wako. Mimi siwezi shabikia hicho kikundi cha wahuni.
 
Back
Top Bottom