Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

Nashangaa sana watu mnavyolifanya kama hili suala ni la Kiislamu sijui ni kutokujua au ni makusudi ili kuleta mfarakanisho

Kukataa ulevi, uasherati, madawa ya kulevya, kunahitaji mpaka uwe muislamu? Mbona hata Wakristo hawapendi hayo mambo?

Kama hujui kajaribu kusoma kuwa Marekani ambayo ni Wakristo miaka ya 1920s ilikuwa ni marufuku kuuza pombe, ilikuwa ni maramufu kuvaa nguo fupi juu ya goti.
 
Pombe ndio kiini cha madhambi karibu yote, Zanzibar sio watakatifu ila tutajaribu kudhibiti uozo kadri tutatavyoweza
 
Niambie maadili yao
Kwa taarifa yako tu, miaka ya 1920 Marekani ambalo ni taifa la Wakristo wengi ilikuwa kuvaa nguo isiyovuka goti unakamatwa. Ilikuwa ni marufuku kuuza pombe
Sasa na wao ni Waarabu?
Wewe hutaki uozo wa kimagharibi kama ulevi,vichupi na ushoga bali unataka uozo wa kimashariki kama bawel,qutan,kadir-kishan and ect.....!!!Au nimekosea mdogo wangu??
 
Sijui mwaka ulipokelea wapi ila Zanzibar sio nchi, mbili Qatar haijakataza pombe ni vile ilikua hakuna kuingia nazo uwanjani na sheria zake juu ya pombe ni kali. Utaishi na kufa na utaiacha Zanzibar na pombe paamoja na starehe zote zilizoko kaka mkubwa.
 
 
Alisikika mvaa MAKUBAZI mmoja ambae anaaamini pombe ni kharam lkn kufuga msukule ni ujanja,
 
Mchele mtatoa wapi na viazi vya chips alafu nimesahau na umeme.
bado na lengine bajeti ya serikali inayotoka bara pamoja na waajiliwa znz kuja bara.
Waarabu wanatoroka nchi zao kuja huku kufukamia pombe wakijiita watalii
 
Anzeni na ushoga kwanza, we huoni vijana wenu wanavyoteketezwa?.
 
Kuna kitu huwa kinashangaza kwa Waislamu kukomalia pombe kuwa dhambi hapa duniani wakati kwenye pepo yao Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao kwa mujibu wa Quran 85:17 [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hata Islamic Republic ni unafiki mtupu. Unapiga marufuku pombe duniani wakati kwenye pepo yao Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao kwa mujibu wa Quran 47:15. Pombe marufuku duniani, peponi mito ya pombe? Unafiki mtupu.
 
Halafu unashangaa pombe wanakataza duniani wakati kwenye pepo yao Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao kwa mujibu wa Quran 47:15. Yaani duniani pombe marufuku, peponi siyo tu Kuna chupa za pombe, Ila mito ya pombe [emoji1][emoji1][emoji1], unafiki mtupu.
 
Hivi ni kweli kaka haha unayosrma??
 
Hivi ni kweli kaka haya unayosema??
 
😀😀Juzi nilikuwa kwenye Harusi moja hivi, Mpemba na Kanzu yake akazivaa Pombe za bure,akashindwa kufika hata washroom,acha arudishe chenji na baraghashia yake🤣
 
[emoji3][emoji3]Juzi nilikuwa kwenye Harusi moja hivi, Mpemba na Kanzu yake akazivaa Pombe za bure,akashindwa kufika hata washroom,acha arudishe chenji na baraghashia yake[emoji1787]
Duh

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…