Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
KishariaYaan wapewe adhabu kulingana na kosa lao kisheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KishariaYaan wapewe adhabu kulingana na kosa lao kisheria.
Adhabu ni kifungo cha mwaka mmoja au faini ya milion 1.5Yaan wapewe adhabu kulingana na kosa lao kisheria.
Mhhh God for bid.....Kwa watu wanaofanya kwa ridhaa yao hawa hawapaswi kugusa, ila hawa watoto na watu wanao fanyishwa kwa lazima inapaswa kukemea.
Serikali isome ujumbe huu na kuufanyia kaziHili tatizo sasa hivi limeshakuwa kubwa kwenye jamii zetu.....na kinachosikitisha ni kuwa kadri Siku zinavyokwenda jamii inalichukulia kuwa ni la kawaida na wenye mamlaka kwa maana ya serikali nguvu yao ni ndogo sana kwenye hili na ni kama wamewaachia raia.......
Sasa hivi imekuwa heka heka mitaani kwenye suala Zima la malezi.....unaweza kujivunia kidume chako na kujiona mwamba kumbe watu wamesha muharibu zamani........
Tatizo kwa kadri linavyofumbiwa macho na mkazo kuwa mdogo itafika nyakati watu nyuso zao zitaondoka haya hata kufikia kupeleka posa kwa mtoto wa kiume...........
Makundi mbali mbali kwenye jamii zetu na mtu mtu mmoja tutoke hadharani na tukemee ushetani huu bila woga......jamii inaangamia.......serikali yetu inaogopa kuyatamka hadharani kwa inaogopa kukosa fedha za wafadhili........shime shime wazazi na walezi tuwe makini na mienendo ya vijana wetu..........
Tuwe makini hata na wakazi tunaowakaribisha majumbani mwetu...... unaweza kumwamini mtu kuwa ni nduguyo wa damu kumbe anakuharibia watoto.......si vyema kuwalaza watoto chumba kimoja na mtu mzima.........
Kuhasi ni agenda inayofumbiwa macho kwa makusudi, kwa sababu ya watunga sera na sheria kuwa ni wanufaika wa vitendo hivyo.Wahasiwe au wakatwe kabisa
Kuwaombea bila kuweka sheria kandamizi kwa mabasha, tatizo halitaisha.Duh!!!,inasikitisha sana,tuombe Mungu aturehemu.Tuwaombee watoto wetu wa kiume ili Mwenyezi Mungu awanusuru na janga hili.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Akipigwa shaba anakuwa kapata staha maana atajuta kipindi kifupi kile cha kutekelezewa adhabu.Aiseee, ikibainika hao watuhumiwa wamefanya hivi vitendo pasi na shaka, basi wapigwe shaba za kichwa wote..
Haya mambo yameenea kote hujamsikia Mwakyembe?Tanga, PWANI na huko visiwani mungu anawaona!
🙏👍Kuhasi ni agenda inayofumbiwa macho kwa makusudi, kwa sababu ya watunga sera na sheria kuwa ni wanufaika wa vitendo hivyo.
Angehasiwa hata mmoja mbele za kamera kama walivyofanya Sudani enzi za Nimeiri, kukata mikono wezi huku watu wanashuhudia ingelisaidia sana.
Ingawa wengine hudai kuwa: ukimhasi na akabaki hai anaweza akawa shoga vile vile, hili huwaga siliamini kwa sababu "glands" zinazomtia nyege na ashki zinaondolewa, hata ushoga hataweza tena anakuwa kakomeshwa.
tutanyaje ili yaishe bibi yanguRipoti ya Mwakyembe iliishia wapi?
Wizara yetu ya ustawi wa jamii ina majibu ya kutupa.