Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali

Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali

Hizo video zinatumwa wapi na ni kina nani wanawalipa. Haya mambo ya kupandikiza tabia fulani au kuaribu vizazi sio ya kupuuzwa ni zaidi ya tunavyoyaona ...
Inahuzunisha sana .
 
Hivi inakuaje kijana wa miaka 18 unaenda kukaa na kulala kabisa kwa mtu usiemjua kisa tu umegombana na mzazi nyumbani ?
waanze kuulizwa kwanza hao vijana wanashida gan mpka wajiachie kabisa kwenda kulala ndan kwa wanaume wenzao ilhal hawajuani
#hata hao vijana wanashida km wangekua watoto wa miaka 7 hapo sawa ila 18+ ,basi huenda wanataka🥴
🥴🥴
 
Hili tatizo sasa hivi limeshakuwa kubwa kwenye jamii zetu.....na kinachosikitisha ni kuwa kadri Siku zinavyokwenda jamii inalichukulia kuwa ni la kawaida na wenye mamlaka kwa maana ya serikali nguvu yao ni ndogo sana kwenye hili na ni kama wamewaachia raia.......

Sasa hivi imekuwa heka heka mitaani kwenye suala Zima la malezi.....unaweza kujivunia kidume chako na kujiona mwamba kumbe watu wamesha muharibu zamani........

Tatizo kwa kadri linavyofumbiwa macho na mkazo kuwa mdogo itafika nyakati watu nyuso zao zitaondoka haya hata kufikia kupeleka posa kwa mtoto wa kiume...........

Makundi mbali mbali kwenye jamii zetu na mtu mtu mmoja tutoke hadharani na tukemee ushetani huu bila woga......jamii inaangamia.......serikali yetu inaogopa kuyatamka hadharani kwa inaogopa kukosa fedha za wafadhili........shime shime wazazi na walezi tuwe makini na mienendo ya vijana wetu..........

Tuwe makini hata na wakazi tunaowakaribisha majumbani mwetu...... unaweza kumwamini mtu kuwa ni nduguyo wa damu kumbe anakuharibia watoto.......si vyema kuwalaza watoto chumba kimoja na mtu mzima.........
 
Mlificha ripoti ya GBV ya 2018 mkazuia isitoke matokeo yake ndio haya

Vipi yule sheikh aliyelawiti watoto 29 na yule mwalimu mkuu watoto 9 na yule jamaa watoto 11 mliwafanya

Hukumu ya kubaka au kulawiti adhabu yake faini 1.5 M aibu sana Zanzibar

Haya mambo zanzibar yapo mengiii hadi kero
 
Hili tatizo sasa hivi limeshakuwa kubwa kwenye jamii zetu.....na kinachosikitisha ni kuwa kadri Siku zinavyokwenda jamii inalichukulia kuwa ni la kawaida na wenye mamlaka kwa maana ya serikali nguvu yao ni ndogo sana kwenye hili na ni kama wamewaachia raia.......

Sasa hivi imekuwa heka heka mitaani kwenye suala Zima la malezi.....unaweza kujivunia kidume chako na kujiona mwamba kumbe watu wamesha muharibu zamani........

Tatizo kwa kadri linavyofumbiwa macho na mkazo kuwa mdogo itafika nyakati watu nyuso zao zitaondoka haya hata kufikia kupeleka posa kwa mtoto wa kiume...........

Makundi mbali mbali kwenye jamii zetu na mtu mtu mmoja tutoke hadharani na tukemee ushetani huu bila woga......jamii inaangamia.......serikali yetu inaogopa kuyatamka hadharani kwa inaogopa kukosa fedha za wafadhili........shime shime wazazi na walezi tuwe makini na mienendo ya vijana wetu..........

Tuwe makini hata na wakazi tunaowakaribisha majumbani mwetu...... unaweza kumwamini mtu kuwa ni nduguyo wa damu kumbe anakuharibia watoto.......si vyema kuwalaza watoto chumba kimoja na mtu mzima.........
Serikali isome ujumbe huu na kuufanyia kazi
 
Wahasiwe au wakatwe kabisa
Kuhasi ni agenda inayofumbiwa macho kwa makusudi, kwa sababu ya watunga sera na sheria kuwa ni wanufaika wa vitendo hivyo.

Angehasiwa hata mmoja mbele za kamera kama walivyofanya Sudani enzi za Nimeiri, kukata mikono wezi huku watu wanashuhudia ingelisaidia sana.

Ingawa wengine hudai kuwa: ukimhasi na akabaki hai anaweza akawa shoga vile vile, hili huwaga siliamini kwa sababu "glands" zinazomtia nyege na ashki zinaondolewa, hata ushoga hataweza tena anakuwa kakomeshwa.
 
Aiseee, ikibainika hao watuhumiwa wamefanya hivi vitendo pasi na shaka, basi wapigwe shaba za kichwa wote..
Akipigwa shaba anakuwa kapata staha maana atajuta kipindi kifupi kile cha kutekelezewa adhabu.

Lakini akihasiwa atajuta maisha yake yote.

Kuna adhabu ni kubwa na kali sana ambazo binadamu huwa hatuzifahamu, adhabu za kudhalilishwa kisaikolojia ni kali kuliko kuuawa!

Mfano mtu ahukumiwe kunyongwa, kisha asinyongwe abakie kusubiri kitanzi "condemn" maisha yake yote, huyo ana adhabu kali kuliko anayenyongwa!

Sasa na hawa mabasha, ilitakiwa kuhasiwa, korodani kuonyofolewa kabisa na mkuyenge unakatwa nusu anabakiziwa kipisi cha kukojolea, usingelisikia mtu kafanya huo ufedhuli kwa kujitanua.

Ingawa uharamia haujawahi kwisha, lakini ungepungua kwa asilimia zaidi ya 90.
 
Ripoti ya Mwakyembe iliishia wapi?

Wizara yetu ya ustawi wa jamii ina majibu ya kutupa.
 
Mkimuelewa huyo aliyefichwa anasema mara ya kwanza aliskia maumivu kwa mkunduge,
Kwahiyo badae alizoea akawa anapigwa miti tu na dalali akaanza kutafuta wateja alipomchoka.
Hamna kesi hapo,wazazi wamrudishe tu kwa basha wake otherwise atatoroka tu.
 
Kuhasi ni agenda inayofumbiwa macho kwa makusudi, kwa sababu ya watunga sera na sheria kuwa ni wanufaika wa vitendo hivyo.

Angehasiwa hata mmoja mbele za kamera kama walivyofanya Sudani enzi za Nimeiri, kukata mikono wezi huku watu wanashuhudia ingelisaidia sana.

Ingawa wengine hudai kuwa: ukimhasi na akabaki hai anaweza akawa shoga vile vile, hili huwaga siliamini kwa sababu "glands" zinazomtia nyege na ashki zinaondolewa, hata ushoga hataweza tena anakuwa kakomeshwa.
🙏👍
 
Na huko visiwani ndipo wanajifanya dini wanaijua sawa sawa kiasi kwamba kipindi cha mfungo watu wasio imani moja na waislam wanapata shida kula sehemu wanazotaka. Nyoko hawa.
 
Back
Top Bottom