komanyahenry
JF-Expert Member
- Sep 15, 2017
- 903
- 1,361
Ganda la live amunition na blanks zinajulikana kabisa kwa upasukaji wakeUnajifanya mjuaji huku hujui kuwa risasi inamissfire. Huyu ameonesha risasi ya moto iliyomissfire na kuwa ejected ili kuwaonesha wapuuzi kama wewe kwamba zinazotumika ni risasi za moto.
Wameripoti uwongo!!Dira ya dunia kupitia startimes saa3 wameripoti hii kitu
Hilo sina majibu nalo bt nilichoelezea ni kuwa imetangazwa ktk moja ya vyombo vya habari hapa nchini leoWameripoti uwongo!!
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tii sheria bila shuruti
Risasi ambayo haijatumika itauaje?
Chadema acheni siasa chafu
SiuendeMahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?
Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Nitakukomboa na hiyo Stockholm syndromeSiuende
Jiulize usikuu huo wanampiga ndani mabomu,au kina vita? musiwe wajinga mpaka ukawapofua, wananchi wameuliwa tena wakiwa kwenye shughuli zao za kawaida, halafu munasema ni uongo,muongo ni huyo jiwe wenu na chama chake,miaka 50 kazi yenu kupanga na kusema uongo mukdhani kila MTU ni muongo.Wapemba ni Mabingwa wa kubuni uongo ila kwa bahati ni waoga.
Hakuna alieuwawa, uongo unatengenezwa kwa uweledi.
Utaacha lini ujinga,kwani amekuambia risasi iliyopo pichani ndio imefanya mauajiPropaganda za kijinga, na ni uchochezi!
Kwa waliopitia jeshini hata mgambo wanafahamu kabisa kuwa unachokionyesha kwenye picha ni risasi nzima ambayo haijatumika!
Sasa anayedaiwa kuuawa kwa risasi hiyo alivurumishiwa kwa manati?
Safi Sana BossUtaacha lini ujinga,kwani amekuambia risasi iliyopo pichani ndio imefanya mauaji
ww umekufa sioMahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?
Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Ameshindwa kabisa kuficha ujinga wakeSafi Sana Boss
Wape makavu mpaka wakomeAmeshindwa kabisa kuficha ujinga wake
Mwalimu nyerere alihongwa na Wakoloni wakamwambia wewe kweni unashida gani? Mwalimu akawajibu mlisema Mimi ni SISI.ww umekufa sio
Watangaze uzushi wa chadema. Tii sheria bila shuruti.Vyombo vya habari vya ndani vimeusalit umma havitangazi yanayoendelea zanzibar!!
Anayetaka kuua watoto wenu ni babu madevu na ubishi wake kila jambo yeye anataka kuwa tofauti na SerikaliBila kuchukua hatua CCM watawanyonya damu watoto wetu. Wakati wa kuchukua hatua ni sasa
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter