Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

Mbona kuna watu wanajibu kwa kejeli sana!
 
Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?

Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
and that is the only way out!
 
Utadanganya nani, yaani unapiga picha risasi nzima ambayo haijatumika unadhan sie wajinga
 
Njoo toka UK acha kudanganya wenzio waumie wewe uko kwenye keyboard. Nenda Kawe ukaone anavyoabika mgombea wako Lissu wana Dar wamemkaushia. Watu kiduchu sana!



Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu akielekea Tanganyika packers kwenye Mkutano wa kuhitimisha Kampeni leo Jumanne Oktoba 27, 2020 #ChaguaTunduLissu
#ChaguaChadema
 
Nimegundua wadanganyika mnapenda sana siasa na kudanganyana. Hii mihemko ingekua mnaileta kwenye kujiletea maendeleo kwenye uchumi wa viwanda tungefika mbali sana. Yaani aidia ya dona kantri ya mkulu ingekua reality ndani ya miezi 6!
 
Jeshi letu lenye heshima sasa limefanywa jeshi la kutetea wezi Kesho la Wananchi limefanywa Jeshi la Magufuli
 
Pimbi mkubwa, huyo kichaa wenu hawezi kushinda, ni ujinga wenu ndiyo mnajipumbaza
Babako alifanya upumbavu wa hali ya juu sana kutovaa kondom ile siku hadi kikatungwa kiazi kama wewe
 
Chanzo wanahitaji uchaguzi wa haki kuchagua viongozi wanaowapenda.
 
Hao ni kuduchu sana ukilinganisha na wa siku ya Rais Magufuli sisi tupo Kawe tunaona wewe unaletewa huko UK edited photos and video clips.
 
Magufuli kakigeuza Kisiwa cha Karafuu kuwa "Darfur"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…