Labda ni fake news pia, mleta uzi ni bingwa wa kuanzisha nyuzi za uongo na propoganda mbalimbali pia.Halafu mimi sijaelewa hii Habari kabisa. Na Nina Shaka kama ni ya kweli. ILA kama wamefanya hivyo ni UPUMBAVU mkubwa. Mimi siwezi kuandika kwenye biashara yangu maneno kama hayo wakati ninafahamU napokea watu wa itikadi tofauti tena sekta ya utalii.
Ni issue, Kuna wageni wanaenda sehemu ambazo no pork au halal food na no alcohol,wanakuwa wanechagua.Kitimoto sio ishu, labda tuseme wewe ni kiongozi wa serikali umeenda Kenya unafika hotelini unakuta gari ya meneja ina picha ya Nduli Iddi Amin Dada, utafanyaje?
wewe unataka ubishi tu.. ! Hata wewe pia unayo haki ya kutuma video ya kuonyeha hawakufanya fujo...ili kuthibitisha hoja yakoNtumie video wakifanya Fujo na mm nione mkuu
Wewe haupo sawa. Nimeomba video sababu. Huyo binti hapo kaandika wamefanya fujo kichwa kinasema wamelalamika wakatimuliwa. Uko sawa kichwani kweli au kuna dawa unatumia?wewe unataka ubishi tu.. ! Hata wewe pia unayo haki ya kutuma video ya kuonyeha hawakufanya fujo...ili kuthibitisha hoja yako
Amechagua kuweka picha ya free PalestineHuyo meneja achague kuwa meneja au mpiganaji wa wapalestina.
Unayetoa huduma unapaswa kuwa neutral, usionyeshe unachokiamini au kukipigania. Wapokee wote bila kumfanya yoyote ajisikie kutokuwa salama. Ukiwa na mkeo laani israel utakavyo ila ukiwa kazini fanya kazi, kama huwezi jiunge na vikosi vya wapiganaji huko mitandaoni uitetee palestina uache wengine wafanye kazi na watalii.Ni issue, Kuna wageni wanaenda sehemu ambazo no pork au halal food na no alcohol,wanakuwa wanechagua.
Wa Israel walitakiwa waache usenge.Wakae mamalize stay yao wakienda au wakifanya booking waseme hawataki gari ya manager iwe na picha kama hiyo.
Ntakuuliza swali ,je ingekuwa ni mgeni kama wao amekuja na gari yao Ina bango Hilo wangefanya nn?
we unatetea upuuzi/udini. Wapi uliona ipp media wanaedekeza udini kama azam media? Azam unakuta litangazaji lina sigda bila aibu linatuonesha kwenya tv, mara mahijabu, mara salam za kidini, huo upuuzi hatuoni ipp media. Kuhusu stika na bendera watu wako huru kuzionesha sehemu ambazo hazitawakera wengine. Kwenye biashara za wateja mchanganyiko haifai kuonesha kuunga mkono taifa fulani kwenye mapambano yao labda biashara hiyo iwahusu wenyewe tu. Hao waisrael wako sahihi kupinga kisanga hicho walichokiona hotelini hapoAkili kibajaji hizi! Basi serikali ikishapiga marufuku ije na kwenye Bendera za Israel/ Saudiarabia kwenye biashara kadhaa....Ikitoka apo ije ipige na masanamu ya imani fulani kwenye majumba yetu maana nayo yanawakwaza watu wengine nk nk nk.... Biashara ni huru sehem X inakukwaza kwa huduma zao nenda sehem Y.... Ndo wale wale waliokua wanamsema Mzee Azam kua ni mdini lakini Mzee Marehem Mengi sio...Poor mindset
100%Unayetoa huduma unapaswa kuwa neutral, usionyeshe unachokiamini au kukipigania. Wapokee wote bila kumfanya yoyote ajisikie kutokuwa salama. Ukiwa na mkeo laani israel utakavyo ila ukiwa kazini fanya kazi, kama huwezi jiunge na vikosi vya wapiganaji huko mitandaoni uitetee palestina uache wengine wafanye kazi na watalii.
Yeye aliomba kazi ya kupigania uhuru wa palestina au umeneja?Amechagua kuweka picha ya free Palestine
use common sense not emotion..yaani mfanyabiashara ambae akipata wageni ni furaha na faida kwake, afikie hatua ya kumfukuza mgeni bila sababu ya msingi? Wote hatukuwepo eneo la tukio lakini akili tunazo..Wewe haupo sawa. Nimeomba video sababu. Huyo binti hapo kaandika wamefanya fujo kichwa kinasema wamelalamika wakatimuliwa. Uko sawa kichwani kweli au kuna dawa unatumia?
Meneja kakosea.100%
Waisrael ndio wamekuza mambo.Hata kama ni gari binafsi la meneja naona atakuwa kakosea.Yeye ni meneja/individual. Sawa.Lakini,akumbuke amefika eneo la kazi ambalo anatakiwa ahudumie watu wenye imani,misimamo,itikadi na maono tofautitofauti. Kwa mfano,mteja Muizraeli akipatwa na dharula kiafya(au chochote)itakayohitaji apate usafiri,atakabali kutumia hilo gari kweli?Na tunajua watalii wengi Zanzibar siyo Wapalestina.Ni haohao "wazungu na waizraeli" anaowakwaza.
Ni makosa kusema "...a hotel in Tanzania.."Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania..
Hakuomba kazi ya kuja kuzuiliwa sticker gani ya kubandika katika gari lake.Yeye aliomba kazi ya kupigania uhuru wa palestina au umeneja?
Zanzibar ipo Tanzania wapo sahihi kwa 100%Ni makosa kusema "...a hotel in Tanzania.."
Bora wangeandika neno Zanzibar na siyo Tanzania, maana hao wahuni wa Zenji wanaweza kuharibu biashara ya utalii Tanzania bara kwa ushabiki maandazi wa hovyo