Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Labda ni fake news pia, mleta uzi ni bingwa wa kuanzisha nyuzi za uongo na propoganda mbalimbali pia.Halafu mimi sijaelewa hii Habari kabisa. Na Nina Shaka kama ni ya kweli. ILA kama wamefanya hivyo ni UPUMBAVU mkubwa. Mimi siwezi kuandika kwenye biashara yangu maneno kama hayo wakati ninafahamU napokea watu wa itikadi tofauti tena sekta ya utalii.