Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Halafu mimi sijaelewa hii Habari kabisa. Na Nina Shaka kama ni ya kweli. ILA kama wamefanya hivyo ni UPUMBAVU mkubwa. Mimi siwezi kuandika kwenye biashara yangu maneno kama hayo wakati ninafahamU napokea watu wa itikadi tofauti tena sekta ya utalii.
Labda ni fake news pia, mleta uzi ni bingwa wa kuanzisha nyuzi za uongo na propoganda mbalimbali pia.
 
Kitimoto sio ishu, labda tuseme wewe ni kiongozi wa serikali umeenda Kenya unafika hotelini unakuta gari ya meneja ina picha ya Nduli Iddi Amin Dada, utafanyaje?
Ni issue, Kuna wageni wanaenda sehemu ambazo no pork au halal food na no alcohol,wanakuwa wanechagua.

Wa Israel walitakiwa waache usenge.Wakae mamalize stay yao wakienda au wakifanya booking waseme hawataki gari ya manager iwe na picha kama hiyo.

Ntakuuliza swali ,je ingekuwa ni mgeni kama wao amekuja na gari yao Ina bango Hilo wangefanya nn?
 
Huyo meneja achague kuwa meneja au mpiganaji wa wapalestina.
 
wewe unataka ubishi tu.. ! Hata wewe pia unayo haki ya kutuma video ya kuonyeha hawakufanya fujo...ili kuthibitisha hoja yako
Wewe haupo sawa. Nimeomba video sababu. Huyo binti hapo kaandika wamefanya fujo kichwa kinasema wamelalamika wakatimuliwa. Uko sawa kichwani kweli au kuna dawa unatumia?
 
Ni issue, Kuna wageni wanaenda sehemu ambazo no pork au halal food na no alcohol,wanakuwa wanechagua.

Wa Israel walitakiwa waache usenge.Wakae mamalize stay yao wakienda au wakifanya booking waseme hawataki gari ya manager iwe na picha kama hiyo.

Ntakuuliza swali ,je ingekuwa ni mgeni kama wao amekuja na gari yao Ina bango Hilo wangefanya nn?
Unayetoa huduma unapaswa kuwa neutral, usionyeshe unachokiamini au kukipigania. Wapokee wote bila kumfanya yoyote ajisikie kutokuwa salama. Ukiwa na mkeo laani israel utakavyo ila ukiwa kazini fanya kazi, kama huwezi jiunge na vikosi vya wapiganaji huko mitandaoni uitetee palestina uache wengine wafanye kazi na watalii.
 
Akili kibajaji hizi! Basi serikali ikishapiga marufuku ije na kwenye Bendera za Israel/ Saudiarabia kwenye biashara kadhaa....Ikitoka apo ije ipige na masanamu ya imani fulani kwenye majumba yetu maana nayo yanawakwaza watu wengine nk nk nk.... Biashara ni huru sehem X inakukwaza kwa huduma zao nenda sehem Y.... Ndo wale wale waliokua wanamsema Mzee Azam kua ni mdini lakini Mzee Marehem Mengi sio...Poor mindset
we unatetea upuuzi/udini. Wapi uliona ipp media wanaedekeza udini kama azam media? Azam unakuta litangazaji lina sigda bila aibu linatuonesha kwenya tv, mara mahijabu, mara salam za kidini, huo upuuzi hatuoni ipp media. Kuhusu stika na bendera watu wako huru kuzionesha sehemu ambazo hazitawakera wengine. Kwenye biashara za wateja mchanganyiko haifai kuonesha kuunga mkono taifa fulani kwenye mapambano yao labda biashara hiyo iwahusu wenyewe tu. Hao waisrael wako sahihi kupinga kisanga hicho walichokiona hotelini hapo
 
Either una support Israel or Palestine, hotel imekosea. Kwanza kibiashara hasa tourism mteja is always right.

Pili kama unakaribisha watu wote lazima uelewe people are sensitive to what, kama wao watakavyofanya research yao kujua wanapoenda wapo sensitive to what.

Moja ya sababu kubwa ya Israelists kuvutiwa na Zanzibar pengine inaweza kuwa wanajua chakula ni ‘kosher’ au ‘halal’ kama waislamu wanavyoita so wanajua hiyo angle tayari covered.

Pili kama nchi tunatabia ya ku-abstain kura UN kwenye migogoro ya kimataifa. So pengine wageni wana-ecxpectations wanapoenda ni neutral state katika sensitive issues za siasa zao.

Kwenda kujiingiza kwenye siasa ni sawa na kufukuza kundi kubwa la wageni wako au kutafuta bad review huko wageni walipopata info za kuwajaza upepo hadi kwenda Zanzibar.

You have to be aware of sensitive issues za mataifa mengine, sometimes; kila mtu ana uhuru wa kuchagua msimamo wake including huyo manager. Lakini lazima atambue mipaka ya uhuru wake kutokana na wateja anaopokea kibiashara.
 
Unayetoa huduma unapaswa kuwa neutral, usionyeshe unachokiamini au kukipigania. Wapokee wote bila kumfanya yoyote ajisikie kutokuwa salama. Ukiwa na mkeo laani israel utakavyo ila ukiwa kazini fanya kazi, kama huwezi jiunge na vikosi vya wapiganaji huko mitandaoni uitetee palestina uache wengine wafanye kazi na watalii.
100%
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Wewe haupo sawa. Nimeomba video sababu. Huyo binti hapo kaandika wamefanya fujo kichwa kinasema wamelalamika wakatimuliwa. Uko sawa kichwani kweli au kuna dawa unatumia?
use common sense not emotion..yaani mfanyabiashara ambae akipata wageni ni furaha na faida kwake, afikie hatua ya kumfukuza mgeni bila sababu ya msingi? Wote hatukuwepo eneo la tukio lakini akili tunazo..
 
Hata kama ni gari binafsi la meneja naona atakuwa kakosea.Yeye ni meneja/individual. Sawa.Lakini,akumbuke amefika eneo la kazi ambalo anatakiwa ahudumie watu wenye imani,misimamo,itikadi na maono tofautitofauti. Kwa mfano,mteja Muizraeli akipatwa na dharula kiafya(au chochote)itakayohitaji apate usafiri,atakabali kutumia hilo gari kweli?Na tunajua watalii wengi Zanzibar siyo Wapalestina.Ni haohao "wazungu na waizraeli" anaowakwaza.
Waisrael ndio wamekuza mambo.
Hakuna kosa hapo,kwani kuna athari gani katika utoaji huduma kwa hiyo picha ilobandikwa?
Je waisrael wametukanwa?
Je hiyo picha imechafua vyakula hotelini?
Je hiyo picha imechafua vyumba vya hoteli?

Israel kuwa na chuki zake binafsi na Palestina abaki nazo mwenyewe sio kuzileta mpaka sehemu zingine.
Mmekuza tu jambo manager hana kosa hakuandika matusi wala maneno ya kibaguzi juu ya Israel.
 
Mbona kawaida tu
Waje huku mpaka kwenye bridges wameandika Free Palestine na ndio wazungu
Wanapita kila leo na hawafuti
Wauwe hovyo bado hata bango wanataka waliuwe ama
 
Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania..
Ni makosa kusema "...a hotel in Tanzania.."

Bora wangeandika neno Zanzibar na siyo Tanzania, maana hao wahuni wa Zenji wanaweza kuharibu biashara ya utalii Tanzania bara kwa ushabiki maandazi wa hovyo.

Ni upunguani kuingiza itikadi za kisiasa na kidini kwenye biashara
 
Ni makosa kusema "...a hotel in Tanzania.."

Bora wangeandika neno Zanzibar na siyo Tanzania, maana hao wahuni wa Zenji wanaweza kuharibu biashara ya utalii Tanzania bara kwa ushabiki maandazi wa hovyo
Zanzibar ipo Tanzania wapo sahihi kwa 100%

kama hampendi hivyo kataeni muungano kama mnaweza
 
Mimi ni muumini wa customer care
Na naamini pia any sincere customer complain is an asset kwa taasisi inayojitambua, ila kwenye hili la sticker ya *Free Palestine" Kuna maswali mengi ya kujiuliza Ili kuona kama Meneja alikuwa sawa au laa:

1. Hivi Wazungu/Wayahudi/Watalii wote hawapendezwi au hawataki na kilichoandikwa kwenye sticker hiyo ?
Hakuna Wazungu/Wayahudi/Watalii au Wageni ambao labda wangetaka kuona maandishi yaliyokuwa kwenye sticker hiyo yawekwe ikiwezekana receiption ?

2.Wakati Wana complain walitumia njia gani ?
Ilikuwa njia ambayo ingehakiki kwanza usalama wao, mali zao, wageni wengine, na mali za hotel ?
Haikuwa risky kuendelea ku accommodate wateja wa aina hiyo, hasa katika kipindi hiki Cha vita ? chembilecho Shakespeare's "People in glass houses shouldn't throw stones"

3. Haiwezekani hii ikawa part n parcel ya competitor's drama kuharibu image ya Zanzibar tourism hasa ktk kipindi hiki ambacho Tz kwa ujumla wake inaonekana Ina excel kwenye sector hiyo. 4. Jee haiwezekani hiyo sticker ilikuwa kwenye gari ambayo sio ya Manager let's say ilikuwa kwenye gari ya mteja mwingine isipokuwa ku maintain privacy n security ya huyo mteja akaamua kujionesha kama yeye ndio owner



Everything is alright in the night
 
Back
Top Bottom