Marie Antoinette
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 426
- 412
Kidiplomasia kwa lipi sasa? Huyo mtalii alienda kupumzika na kulala, maandishi kwenye gari yalimhusu nini? Kutopenda Palestina kwake,ndo kufanye wengine wasiandike wanavyotaka?Hii habari imekaa kishabiki kuliko uhalisia, upande wa pili sio habari za kushabikia ikiwa mnapenda kuongeza mapato ya kitalii.
Kama ni kweli kuna tukio kama hilo, suluhisho lilikuwa majadiliano na kulimaliza kidiplomasia.
Sio sahihi sana kuweka itikadi kwenye biashara.
Kama ni hivyo, basi hata majina ya Hoteli wengine hawayapendi.
Je,akiingia bara si ndo atajinyonga!