Zanzibar Wavuvi wapewa Boti za Kisasa, Bara kulikoni?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.

Jambo la kheri kabisa!

Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?

Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?

Kweli Zanzibar kumenoga.
 
N

------
Source ITV habari.
Ninyi huku bara si mnanunua ndege kwa cash!
 
Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.

Jambo la kheri kabisa!

Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?

Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?

Kweli Zanzibar kumenoga.

------
Source ITV habari.
🤣🤣Umeshasema Rais wa Zanzibar amegawa boti kwa wananchi wake ....Sasa bara kunaingiaje hapa?!!!
 
Kwa hiyo Tanganyika haipo ila Zanzibar ndiyo ipo na ndiyo wanaula sasa kwa jina la kuwa hatupo?
Weird. Hata ile rasimu ya warioba inayoshabikiwa sana inasema Tanzania ni muungano wa nchi mbili; tanzania bara na zanzibar.

Sijui waliogopa nini kuitaja tanganyika!
 
Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.

Jambo la kheri kabisa!

Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?

Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?

Kweli Zanzibar kumenoga.

------
Source ITV habari.

Bara nao watapewa
 
Weird. Hata ile rasimu ya warioba inayoshabikiwa sana inasema Tanzania ni muungano wa nchi mbili; tanzania bara na zanzibar.

Sijui waliogopa nini kuitaja tanganyika!

Rasimu ya Warioba umeiangalia sawa sawa? Usichanganye rasimu ya Warioba na katiba pendekezwa ndugu:

IMG_20220325_185419_284.jpg

Zingatia tofauti hizo za msingi baina ya rasimu ya Warioba na katiba pendekezwa.
 
Kwani hujui ITV habari inapatikana mtandaoni pia ndugu?

Najua ila ni jukumu la mleta habari kuonyesha source hasa ukizingatia umeleta taarifa katika mfumo wa kutoa maoni na sio ume-quote.....btw usikaze sana fuvu maana humu comment zingine huwa zinatolewa ktk mfumo wa burudani hivyo usichukulie serious sanaaaaaa
 
Bara nao watapewa

Inatambulika kuwa mtanzania kwa ambalo hana faida nalo kama yeye binasi, hilo ni upuusi tu.

Umesikika ndugu mtanzania ambaye ubinafsi uliopitiliza ni silika kwako.

Ujivue vipi ubinafsi wako ambao ni sehemu ya mwili wako wewe?
 
Husda ni Jambo baya sana. Bara inajengwa Reli ya maelfu ya kilomita na Zanzibar haina hata mradi wa km 1 wa Reli. Hizo pesa kama zingetumika kununua hizo boti kama za mwinyi, nadhani kila mvuvi angekuwa na boti yake ndogo ya uvuvi. Life iko hivyo.
 
Mafia nako kunajengwa reli?

Kwanini Zanzibar tu?
 
Kwani kuna ubaya Mkuu.....!???

Unataka 50/50?
 
Back
Top Bottom