- Thread starter
- #21
Kwani kuna ubaya Mkuu.....!???
Unataka 50/50?
Tunataka fair au wewe hutaki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna ubaya Mkuu.....!???
Unataka 50/50?
Bara hakuna wa kuwatetea wanannchi, si unajua baba alifariki mama kaziba nafasi isionekane ipo wazi. Bara ni yatima kwasasa, tuvumilie kidogo
Umeelewa lakini?Mafia nako kunajengwa reli?
Kwanini Zanzibar tu?
Zanzibar ingeungana na Oman baada ya kupata uhuru, leo Zanzibar ingekuwa kama Muscat. Na wala uchumi wa Zanzibar usingekuwa hoi namna hii.
Umeelewa lakini?
Endeleeni kuupiga mwingi mpaka umwagike...ndio mtaanza kuelewa kwamba kazi ndio msingi wa maendeleo.Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.
Jambo la kheri kabisa!
View attachment 2185461
Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?
Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?
Kweli Zanzibar kumenoga.
Muungano ndio ulileta nuksi. Mzigo ukafia kwa muuza buchaRasimu ya Warioba umeiangalia sawa sawa? Usichanganye rasimu ya Warioba na katiba pendekezwa ndugu:
View attachment 2185418
Zingatia tofauti hizo za msingi baina ya rasimu ya Warioba na katiba pendekezwa.
Irudisheni basi Tanganyika yenu na nyie muendelee, kwa nini bado mnaing'ang'ania Zanzibar? CCM kila siku wanasema wataulinda huo wanaouita muungano kwa gharama yoyote. Iacheni Zanzibar irudishe sovereignty.Labda Tanganyika ingebakia peke yake leo ingekuwa mbali zaidi.
Picha
Najua ila ni jukumu la mleta habari kuonyesha source hasa ukizingatia umeleta taarifa katika mfumo wa kutoa maoni na sio ume-quote.....btw usikaze sana fuvu maana humu comment zingine huwa zinatolewa ktk mfumo wa burudani hivyo usichukulie serious sanaaaaaa
Irudisheni basi Tanganyika yenu na nyie muendelee, kwa nini bado mnaing'ang'ania Zanzibar? CCM kila siku wanasema wataulinda huo wanaouita muungano kwa gharama yoyote. Iacheni Zanzibar irudishe sovereignty.
Naona watoto wa kambo mshaanza kujilinganisha na watoto wa ndani eeehhhh??
Bara tunalimia meno
Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.
Jambo la kheri kabisa!
View attachment 2185461
Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?
Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?
Kweli Zanzibar kumenoga.
Hivi Zanzibar kuna ToZO, service levy, with holding tax, sidhani kama mkazi wa Zazinbar ana habari na Hii kitu, je Zanzibar mfanyabiasha ni lazima awe na efd machine?Husda ni Jambo baya sana. Bara inajengwa Reli ya maelfu ya kilomita na Zanzibar haina hata mradi wa km 1 wa Reli. Hizo pesa kama zingetumika kununua hizo boti kama za mwinyi, nadhani kila mvuvi angekuwa na boti yake ndogo ya uvuvi. Life iko hivyo.