Zanzibar Wavuvi wapewa Boti za Kisasa, Bara kulikoni?

Zanzibar Wavuvi wapewa Boti za Kisasa, Bara kulikoni?

Tulijiona wajanja tukasema tunawatawala sasa imekula kwetu yakhee. Ni sawa na S.A makaburu walivyowapa weusi uhuru wa kisiasa wakabaki na uchumi

Umeeleza vyema kabisa yakhe.

"Tulijiona wajanja. Kama SA mzungu atapewa lini tena rungu?"

Wacha tuisome tu. 😁😁
 
Kama wamepewa na Rais wao na hatujui hizo pesa zake zimetoka wapi tusilaumu, labda ni mapato yao ya ndani ndio yamewawezesha kufanya hivyo.
Mapato ya ndani???zenji hii ambayo inashindwa hata kulipa watumishi wa umma.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mapato ya ndani???zenji hii ambayo inashindwa hata kulipa watumishi wa umma.

#MaendeleoHayanaChama

Kwani si hata mapato ya Ruvuma au Rukwa si ni ya ndani mkuu?

Kwa hakika kwa mtaji huu wazanzibari hawataki Katiba Mpya.
 
Bara yatima hadi 2025 Zenji tutakuwa tumeiwezesha kuwa Ulaya au Dubai.

Wenyewe wakiita uchumi wa buluu muwezeshaji mtu wa bara. Muha Kigoma, Mnyakyusa Mbeya.

No wonder Zanzibar yote kwa sasa imetulia tuli, kula na vipofu.
kule kutastawi sana aisee, tutakoma mbona. Huyu wa huku hawazi jambo...wa kule mafuta hayapandi na ametangaza ole ya mtu kupandisha bei bidhaa, huyu wetu anasema bei zitaendelea kupanda tu sababu ya vita ya ukraine na urusi. Yeye ndugu zake wa zanzibar wapo salama kwahiyo hawazi, swala ni sisi wa bara na ndugu zetu tunazidi angamia kila leo
 
Hii siyo siri. Tumepatikana.

Waliotufikisha huku ni hawa kina Sang'udi, Jidu La Mabambasi na wenzao.

Namba mbona tutasoma wote tena vizuri tu?

Jumbe Brown muda wenu huu.
 
Zanzibar ingeungana na Oman baada ya kupata uhuru, leo Zanzibar ingekuwa kama Muscat. Na wala uchumi wa Zanzibar usingekuwa hoi namna hii.
Kwahiyo mnasubili nini sasa kuungana nao?....
 
Watakuwa wamejiandaa hata sasa:

2025 - 2030 Rais Mzanzibari
2030 - 2040 Rais Mzanzibari

2040 - 2050 Rais Mzanzibari kama hamtaki Muungano kwishney kila mtu asonge kivyake na abakie na vyake.

Hadi 2040 watakuwa wako kwenye mavuno kweri kweri.

Wajiandae mara ngapi mkuu?
2025 nchi hii inaludi kwa watanganyika...
 
2025 nchi hii inaludi kwa watanganyika...
Kwa katiba hii nchi ni yao angalau hadi 2040.

Hata baada ya 2040 labda kama kila mtu anachukua njia yake.
 
Usipate mchecheto na Zanzibar.
Tunawabeba.

Unadhani hawajui kuwa wanabebwa mkuu? Nia yao ni kubebwa sana kama vipi wafikie hatua za Ulaya au Dubai ndani ya muda mfupi iwezekanavyo.

Umewasikia wanalalama na tozo za mwigulu au mfumuko wa bei?

Nchi iko mikononi mwao na hata ungekuwa wewe kwenye nafasi yao ungependa ubebwe.

Tutaisoma namba.

Ngoma ni yao hadi angalau 2040. Baada ya hapo, sana sana mkikomaa kila mtu ashike hamsini zake.

Wewe utalalamika kwa kubebwa?
 
Toka mwaka 1964 nchi iko mikononi mwa watanzania bara....kama si husda nini kipindi hiki?!!!
 
Toka mwaka 1964 nchi iko mikononi mwa watanzania bara....kama si husda nini kipindi hiki?!!!

Hamna husda wala nini hapo mjomba. Mbona tumetambua na kuwavulia kofia juu?

Kwa hakika mlijua kusubiria. Hawakukosea waliomtambua Simba mwenda kimya.

Tumetambua kuwa kama mlivyokuwa mkiisoma namba tokea 1964 sasa hii zamu yetu na hata milele.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ila kutucheza shere mnajua. Kwani sasa hivi hamtaki Muungano? Siyo labda hadi 2040?
Hakuna muungano kuna vamizi inayoziba rizki. Zanzibar ilitaka kujiunga na OIC, Nyerere akaleta fitna. Je tukijiunga na Arab League mtasemaje?
 
Back
Top Bottom