Zanzibar Wavuvi wapewa Boti za Kisasa, Bara kulikoni?

Zanzibar Wavuvi wapewa Boti za Kisasa, Bara kulikoni?

Zanzibar si Mafia unapotaka nako wapelekewe boti na mh.Rais Hussein Mwinyi.....

#Siempre JMTšŸ™

Mkuu natambua kuwa Mafia si Zanzibar na ndiyo maana hata wao kuisoma namba inawahusu mkuu.
 
Hakuna muungano kuna vamizi inayoziba rizki. Zanzibar ilitaka kujiunga na OIC, Nyerere akaleta fitna. Je tukijiunga na Arab League mtasemaje?

Mkuu sisi hatuna ugomvi na nyie ila kama ulivyo uzi huu hapa:

Yawezekana Zanzibar hawahitaji Katiba Mpya sasa

Sasa tumewaelewa vizuri. Mapema tukidhani tuko pamoja kwenye mapambano.

Kwa hakika kutucheza shere mnajua. Ingekuwa na "karate" basi nyie mkiitwa ma "master."

Zamu yenu hii. Fanyeni mtakalo.
 
Mkuu natambua kuwa Mafia si Zanzibar na ndiyo maana hata wao kuisoma namba inawahusu mkuu.
Alaa kumbeee....

Sasa ugawaji wa boti huko Zanzibar kunaingiaje katika kuisoma namba huko Kilindoni ?!!!
 
Alaa kumbeee....

Sasa ugawaji wa boti huko Zanzibar kunaingiaje katika kuisoma namba huko Kilindoni ?!!!
Kuisoma namba kupo hivi:

Wakati wenzao wanavua mzigo mkubwa zaidi na salama, wataweza kufika hadi mafia wakachukua pia samaki huko kwa starehe zao.

Matokeo yake ni kuwa waliokuwa wavuvi Mafia ni kugeuzwa vibarua na wapagazi.

Huko ndiko kuisoma namba sawa sawa sasa.

Wewe huoni kuwa kuna letwa ushindani usio sawa kwa kutumia zikiwamo kodi za mvuvi wa Mafia mwenyewe?
 
Back
Top Bottom