Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Ghorofa refu kuliko maghorofa yote East Africa na Central Africa pia linajengwa Zanzibar lakini TZ bara hakuna pia, karibu mezani Mzee wa husda.Husda ni Jambo baya sana. Bara inajengwa Reli ya maelfu ya kilomita na Zanzibar haina hata mradi wa km 1 wa Reli. Hizo pesa kama zingetumika kununua hizo boti kama za mwinyi, nadhani kila mvuvi angekuwa na boti yake ndogo ya uvuvi. Life iko hivyo.