Mie naongezea "picha na link ya ITVVVVVVVVVVVVVVVVVV"Picha
Ninyi huku bara si mnanunua ndege kwa cash!Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.
Jambo la kheri kabisa!
Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?
Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?
Kweli Zanzibar kumenoga.
------
Source ITV habari.
🤣🤣Umeshasema Rais wa Zanzibar amegawa boti kwa wananchi wake ....Sasa bara kunaingiaje hapa?!!!Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.
Jambo la kheri kabisa!
Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?
Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?
Kweli Zanzibar kumenoga.
------
Source ITV habari.
🤣🤣Umeshasema Rais wa Zanzibar amegawa boti kwa wananchi wake ....Sasa bara kunaingiaje hapa?!!!
Tanganyika haipo....Kwa hiyo Tanganyika ndiyo tumeliwa siyo?
N
Ninyi huku bara si mnanunua ndege kwa cash!
Air Tanzania Company Limited.....Mbona hizo ndege zinapokelewa Zanzibar?
Au chako changu ila changu changu?
Tanganyika haipo....
Air Tanzania Company Limited.....
Weird. Hata ile rasimu ya warioba inayoshabikiwa sana inasema Tanzania ni muungano wa nchi mbili; tanzania bara na zanzibar.Kwa hiyo Tanganyika haipo ila Zanzibar ndiyo ipo na ndiyo wanaula sasa kwa jina la kuwa hatupo?
Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.
Jambo la kheri kabisa!
Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?
Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?
Kweli Zanzibar kumenoga.
------
Source ITV habari.
Weird. Hata ile rasimu ya warioba inayoshabikiwa sana inasema Tanzania ni muungano wa nchi mbili; tanzania bara na zanzibar.
Sijui waliogopa nini kuitaja tanganyika!
Najua ila ni jukumu la mleta habari kuonyesha source hasa ukizingatia umeleta taarifa katika mfumo wa kutoa maoni na sio ume-quote.....btw usikaze sana fuvu maana humu comment zingine huwa zinatolewa ktk mfumo wa burudani hivyo usichukulie serious sanaaaaaaKwani hujui ITV habari inapatikana mtandaoni pia ndugu?
Bara nao watapewa
Husda ni Jambo baya sana. Bara inajengwa Reli ya maelfu ya kilomita na Zanzibar haina hata mradi wa km 1 wa Reli. Hizo pesa kama zingetumika kununua hizo boti kama za mwinyi, nadhani kila mvuvi angekuwa na boti yake ndogo ya uvuvi. Life iko hivyo.