Zanzibar Wavuvi wapewa Boti za Kisasa, Bara kulikoni?

Bara hakuna wa kuwatetea wanannchi, si unajua baba alifariki mama kaziba nafasi isionekane ipo wazi. Bara ni yatima kwasasa, tuvumilie kidogo
 
Bara hakuna wa kuwatetea wanannchi, si unajua baba alifariki mama kaziba nafasi isionekane ipo wazi. Bara ni yatima kwasasa, tuvumilie kidogo

Bara yatima hadi 2025 Zenji tutakuwa tumeiwezesha kuwa Ulaya au Dubai.

Wenyewe wakiita uchumi wa buluu muwezeshaji mtu wa bara. Muha Kigoma, Mnyakyusa Mbeya.

No wonder Zanzibar yote kwa sasa imetulia tuli, kula na vipofu.
 
Zanzibar ingeungana na Oman baada ya kupata uhuru, leo Zanzibar ingekuwa kama Muscat. Na wala uchumi wa Zanzibar usingekuwa hoi namna hii.
 
Zanzibar ingeungana na Oman baada ya kupata uhuru, leo Zanzibar ingekuwa kama Muscat. Na wala uchumi wa Zanzibar usingekuwa hoi namna hii.

Labda Tanganyika ingebakia peke yake leo ingekuwa mbali zaidi.
 
Endeleeni kuupiga mwingi mpaka umwagike...ndio mtaanza kuelewa kwamba kazi ndio msingi wa maendeleo.
 
Labda Tanganyika ingebakia peke yake leo ingekuwa mbali zaidi.
Irudisheni basi Tanganyika yenu na nyie muendelee, kwa nini bado mnaing'ang'ania Zanzibar? CCM kila siku wanasema wataulinda huo wanaouita muungano kwa gharama yoyote. Iacheni Zanzibar irudishe sovereignty.
 
Isiwe kesi mkuu - imekuwa processed kwa raha zako
 
Irudisheni basi Tanganyika yenu na nyie muendelee, kwa nini bado mnaing'ang'ania Zanzibar? CCM kila siku wanasema wataulinda huo wanaouita muungano kwa gharama yoyote. Iacheni Zanzibar irudishe sovereignty.

Sisi hao ndiyo tumeishikilia na tukamshikilia hadi Samia kuja kutawala huku kwa sababu hatunao watu wa kufanya shughuli hiyo?

Unasema kweli au utani yakhe?
 
Huko muda si mrefu wananchi wanaenda kugaiwa mchele,unga ,dagaa na mafuta!!,, ni suala la muda tu. It is their time
 
Akirudi kutoka saloon Marekani atawagawia
 
Husda ni Jambo baya sana. Bara inajengwa Reli ya maelfu ya kilomita na Zanzibar haina hata mradi wa km 1 wa Reli. Hizo pesa kama zingetumika kununua hizo boti kama za mwinyi, nadhani kila mvuvi angekuwa na boti yake ndogo ya uvuvi. Life iko hivyo.
Hivi Zanzibar kuna ToZO, service levy, with holding tax, sidhani kama mkazi wa Zazinbar ana habari na Hii kitu, je Zanzibar mfanyabiasha ni lazima awe na efd machine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…