Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Ghorofa refu kuliko maghorofa yote East Africa na Central Africa pia linajengwa Zanzibar lakini TZ bara hakuna pia, karibu mezani Mzee wa husda.Husda ni Jambo baya sana. Bara inajengwa Reli ya maelfu ya kilomita na Zanzibar haina hata mradi wa km 1 wa Reli. Hizo pesa kama zingetumika kununua hizo boti kama za mwinyi, nadhani kila mvuvi angekuwa na boti yake ndogo ya uvuvi. Life iko hivyo.
Boti si samaki, utashangaa kusikia nyakati za usiku zinashafirisha abiria kwenda Pemba kusherehekea Iddi.Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.
Jambo la kheri kabisa!
View attachment 2185461
Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?
Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?
Kweli Zanzibar kumenoga.
Hivi Zanzibar kuna ToZO, service levy, with holding tax, sidhani kama mkazi wa Zazinbar ana habari na Hii kitu, je Zanzibar mfanyabiasha ni lazima awe na efd machine?
Ghorofa refu kuliko maghorofa yote East Africa na Central Africa pia linajengwa Zanzibar lakini TZ bara hakuna pia, karibu mezani Mzee wa husda.
Nikiwa raisi wazanzibari jiandaeni
Rais Mwinyi Jr anatekeleza ahadi aliyoitoa katika ilani ya chama chake aliyoinadi kwa wananchi mwaka 2020. Pamoja na mambo mengine alitoa ahadi kuhusu kuchochea uchumi wa bluu.Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.
Jambo la kheri kabisa!
View attachment 2185461
Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?
Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?
Kweli Zanzibar kumenoga.
Kama wamepewa na Rais wao na hatujui hizo pesa zake zimetoka wapi tusilaumu, labda ni mapato yao ya ndani ndio yamewawezesha kufanya hivyo.
Rais Mwinyi Jr anatekeleza ahadi aliyoitoa katika ilani ya chama chake aliyoinadi kwa wananchi mwaka 2020. Pamoja na mambo mengine alitoa ahadi kuhusu kuchochea uchumi wa bluu.
Alisisitiza wakati wa kampeni za uchaguzi kuwa ataimarisha na kuchochea matumizi bora ya rasilimali za bahari ikiwemo kuhakikisha anatoa vifaa bora vya uvuvi ikiwamo boti na meli za kisasa za uvuvi. Ni Rais mahiri sana asiyekuwa na makeke.
Kwamba ni mapato ya ndani. Hadi 2040 kazi tunayo. Karume na wazanzibari kama SSH waliona mbali sana.Ghorofa refu kuliko maghorofa yote East Africa na Central Africa pia linajengwa Zanzibar lakini TZ bara hakuna pia, karibu mezani Mzee wa husda.
Zanzibar kuna uchumi wa bluu huku Bara ngoja tupambane kwanza na mfumuko wa bei za bidhaa.Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.
Jambo la kheri kabisa!
View attachment 2185461
Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?
Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?
Kweli Zanzibar kumenoga.
Yaandi hawa ni wakuwafanya koloni letu nyonya mpka basiWatakuwa wamejiandaa hata sasa:
2025 - 2030 Rais Mzanzibari
2030 - 2040 Rais Mzanzibari
2040 - 2050 Rais Mzanzibari kama hamtaki Muungano kwishney kila mtu asonge kivyake na abakie na vyake.
Hadi 2040 watakuwa wako kwenye mavuno kweri kweri.
Wajiandae mara ngapi mkuu?
Muungano tuliungia wenyewe unatutafuna, tukaipoteza tanganyika sasa hatuna nchiPole pole mjomba wewe unaona kinachoendelea hapa ni halali au unabwabwaja tu?
Yaandi hawa ni wakuwafanya koloni letu nyonya mpka basi
Muungano tuliungia wenyewe unatutafuna, tukaipoteza tanganyika sasa hatuna nchi
Rais wa Zanzibar ameonekana akigawa maboti mapya kwa ajili ya wavuvi wa huko kuachana na majahazi.
Jambo la kheri kabisa!
View attachment 2185461
Hata hivyo kwanini zoezi hili ni kwa Zanzibar tu?
Si kuwa kwa uwiano wa watu huku bara tulistahili mengi zaidi?
Kweli Zanzibar kumenoga.
Tulijiona wajanja tukasema tunawatawala sasa imekula kwetu yakhee. Ni sawa na S.A makaburu walivyowapa weusi uhuru wa kisiasa wakabaki na uchumiNakazia: Karume snr na wazanzibari waliona mbali sana.
Shikamoni: SSH na Mwinyi jnr ππ.