Tulijiona wajanja tukasema tunawatawala sasa imekula kwetu yakhee. Ni sawa na S.A makaburu walivyowapa weusi uhuru wa kisiasa wakabaki na uchumi
Tena mmeliwa Sio kidogoKwa hiyo Tanganyika ndiyo tumeliwa siyo?
Mnalilia boti kwani mna uchumi wa bluu ?
T
Tena mmeliwa Sio kidogo
Mapato ya ndani???zenji hii ambayo inashindwa hata kulipa watumishi wa umma.Kama wamepewa na Rais wao na hatujui hizo pesa zake zimetoka wapi tusilaumu, labda ni mapato yao ya ndani ndio yamewawezesha kufanya hivyo.
Mapato ya ndani???zenji hii ambayo inashindwa hata kulipa watumishi wa umma.
#MaendeleoHayanaChama
kule kutastawi sana aisee, tutakoma mbona. Huyu wa huku hawazi jambo...wa kule mafuta hayapandi na ametangaza ole ya mtu kupandisha bei bidhaa, huyu wetu anasema bei zitaendelea kupanda tu sababu ya vita ya ukraine na urusi. Yeye ndugu zake wa zanzibar wapo salama kwahiyo hawazi, swala ni sisi wa bara na ndugu zetu tunazidi angamia kila leoBara yatima hadi 2025 Zenji tutakuwa tumeiwezesha kuwa Ulaya au Dubai.
Wenyewe wakiita uchumi wa buluu muwezeshaji mtu wa bara. Muha Kigoma, Mnyakyusa Mbeya.
No wonder Zanzibar yote kwa sasa imetulia tuli, kula na vipofu.
kule kutastawi sana aisee, tutakoma mbona. Huyu wa huku hawazi jambo...wa kule mafuta hayapandi na ametangaza ole ya mtu kupandisha bei bidhaa, huyu wetu anasema bei zitaendelea kupanda tu sababu ya vita ya ukraine na urusi. Yeye ndugu zake wa zanzibar wapo salama kwahiyo hawazi, swala ni sisi wa bara na ndugu zetu tunazidi angamia kila leo
Usipate mchecheto na Zanzibar.Hii siyo siri. Tumepatikana.
Waliotufikisha huku ni hawa kina Sang'udi, Jidu La Mabambasi na wenzao.
Namba mbona tutasoma wote tena vizuri tu?
Jumbe Brown muda wenu huu.
Kwahiyo mnasubili nini sasa kuungana nao?....Zanzibar ingeungana na Oman baada ya kupata uhuru, leo Zanzibar ingekuwa kama Muscat. Na wala uchumi wa Zanzibar usingekuwa hoi namna hii.
2025 nchi hii inaludi kwa watanganyika...Watakuwa wamejiandaa hata sasa:
2025 - 2030 Rais Mzanzibari
2030 - 2040 Rais Mzanzibari
2040 - 2050 Rais Mzanzibari kama hamtaki Muungano kwishney kila mtu asonge kivyake na abakie na vyake.
Hadi 2040 watakuwa wako kwenye mavuno kweri kweri.
Wajiandae mara ngapi mkuu?
Kwa katiba hii nchi ni yao angalau hadi 2040.2025 nchi hii inaludi kwa watanganyika...
Majeshi ya uvamizi yaondoke kwanzaKwahiyo mnasubili nini sasa kuungana nao?....
Usipate mchecheto na Zanzibar.
Tunawabeba.
Majeshi ya uvamizi yaondoke kwanza
Zanzibar si Mafia unapotaka nako wapelekewe boti na mh.Rais Hussein Mwinyi.....Hii siyo siri. Tumepatikana.
Waliotufikisha huku ni hawa kina Sang'udi, Jidu La Mabambasi na wenzao.
Namba mbona tutasoma wote tena vizuri tu?
Jumbe Brown muda wenu huu.
Toka mwaka 1964 nchi iko mikononi mwa watanzania bara....kama si husda nini kipindi hiki?!!!Unadhani hawajui kuwa wanabebwa mkuu? Nia yao ni kubebwa sana kama vipi wafikie hatua za Ulaya au Dubai ndani ya muda mfupi iwezekanavyo.
Umewasikia wanalalama na tozo za mwigulu au mfumuko wa bei?
Nchi iko mikononi mwao na hata ungekuwa wewe kwenye nafasi yao ungependa ubebwe.
Tutaisoma namba.
Ngoma ni yao hadi angalau 2040. Baada ya hapo, sana sana mkikomaa kila mtu ashike hamsini zake.
Wewe utalalamika kwa kubebwa?
Toka mwaka 1964 nchi iko mikononi mwa watanzania bara....kama si husda nini kipindi hiki?!!!
Hakuna muungano kuna vamizi inayoziba rizki. Zanzibar ilitaka kujiunga na OIC, Nyerere akaleta fitna. Je tukijiunga na Arab League mtasemaje?Ila kutucheza shere mnajua. Kwani sasa hivi hamtaki Muungano? Siyo labda hadi 2040?