B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Apr 13, 2022 Thread starter #81 Jumbe Brown said: Zanzibar si Mafia unapotaka nako wapelekewe boti na mh.Rais Hussein Mwinyi..... #Siempre JMT🙏 Click to expand... Mkuu natambua kuwa Mafia si Zanzibar na ndiyo maana hata wao kuisoma namba inawahusu mkuu.
Jumbe Brown said: Zanzibar si Mafia unapotaka nako wapelekewe boti na mh.Rais Hussein Mwinyi..... #Siempre JMT🙏 Click to expand... Mkuu natambua kuwa Mafia si Zanzibar na ndiyo maana hata wao kuisoma namba inawahusu mkuu.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Apr 13, 2022 Thread starter #82 Bepari2020 said: Hakuna muungano kuna vamizi inayoziba rizki. Zanzibar ilitaka kujiunga na OIC, Nyerere akaleta fitna. Je tukijiunga na Arab League mtasemaje? Click to expand... Mkuu sisi hatuna ugomvi na nyie ila kama ulivyo uzi huu hapa: Yawezekana Zanzibar hawahitaji Katiba Mpya sasa Sasa tumewaelewa vizuri. Mapema tukidhani tuko pamoja kwenye mapambano. Kwa hakika kutucheza shere mnajua. Ingekuwa na "karate" basi nyie mkiitwa ma "master." Zamu yenu hii. Fanyeni mtakalo.
Bepari2020 said: Hakuna muungano kuna vamizi inayoziba rizki. Zanzibar ilitaka kujiunga na OIC, Nyerere akaleta fitna. Je tukijiunga na Arab League mtasemaje? Click to expand... Mkuu sisi hatuna ugomvi na nyie ila kama ulivyo uzi huu hapa: Yawezekana Zanzibar hawahitaji Katiba Mpya sasa Sasa tumewaelewa vizuri. Mapema tukidhani tuko pamoja kwenye mapambano. Kwa hakika kutucheza shere mnajua. Ingekuwa na "karate" basi nyie mkiitwa ma "master." Zamu yenu hii. Fanyeni mtakalo.
Jumbe Brown JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 12,077 Reaction score 12,786 Apr 13, 2022 #83 brazaj said: Mkuu natambua kuwa Mafia si Zanzibar na ndiyo maana hata wao kuisoma namba inawahusu mkuu. Click to expand... Alaa kumbeee.... Sasa ugawaji wa boti huko Zanzibar kunaingiaje katika kuisoma namba huko Kilindoni ?!!!
brazaj said: Mkuu natambua kuwa Mafia si Zanzibar na ndiyo maana hata wao kuisoma namba inawahusu mkuu. Click to expand... Alaa kumbeee.... Sasa ugawaji wa boti huko Zanzibar kunaingiaje katika kuisoma namba huko Kilindoni ?!!!
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Apr 13, 2022 Thread starter #84 Jumbe Brown said: Alaa kumbeee.... Sasa ugawaji wa boti huko Zanzibar kunaingiaje katika kuisoma namba huko Kilindoni ?!!! Click to expand... Kuisoma namba kupo hivi: Wakati wenzao wanavua mzigo mkubwa zaidi na salama, wataweza kufika hadi mafia wakachukua pia samaki huko kwa starehe zao. Matokeo yake ni kuwa waliokuwa wavuvi Mafia ni kugeuzwa vibarua na wapagazi. Huko ndiko kuisoma namba sawa sawa sasa. Wewe huoni kuwa kuna letwa ushindani usio sawa kwa kutumia zikiwamo kodi za mvuvi wa Mafia mwenyewe?
Jumbe Brown said: Alaa kumbeee.... Sasa ugawaji wa boti huko Zanzibar kunaingiaje katika kuisoma namba huko Kilindoni ?!!! Click to expand... Kuisoma namba kupo hivi: Wakati wenzao wanavua mzigo mkubwa zaidi na salama, wataweza kufika hadi mafia wakachukua pia samaki huko kwa starehe zao. Matokeo yake ni kuwa waliokuwa wavuvi Mafia ni kugeuzwa vibarua na wapagazi. Huko ndiko kuisoma namba sawa sawa sasa. Wewe huoni kuwa kuna letwa ushindani usio sawa kwa kutumia zikiwamo kodi za mvuvi wa Mafia mwenyewe?