Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Wafanyakazi wa serikali WAMELAZIMISHWA kwenda kusikiliza hotuba ya Rais Pemba
Tena wataitwa kabisa majina yao kuona nani hajafika
Upuuzi sana huu usio na tija yyt kwa mfanyakazi wa Pemba
usiende kwani ni lazima kwenda kwenye huo mkutano?
 
Kha! Kwani yeye Pemba alichaguliwa huko? KURA zake hazikufika hata 20%
 
Rais ni KIONGOZI mkuu wa serikali,wasipo enda wataadhibiwa! AMBAO hawakwenda kukesha na Mwenge Serengeti wana jadiliwa huko!
Udikteta huu
ni upuuzi kulazimisha vitu ambacho havina maana yoyote ingekuwa ni mimi nisingeenda .
 
Wafanyakazi wa serikali WAMELAZIMISHWA kwenda kusikiliza hotuba ya Rais Pemba
Tena wataitwa kabisa majina yao kuona nani hajafika
Upuuzi sana huu usio na tija yyt kwa mfanyakazi wa Pemba
Roll call lazima.
 
Kwel nineamini ajira sio kipaumbele cha serikali hii, yani ndege zinanunuliwa lakini ajira nooh
Kwani hiyo ndege nayo si ajira pia kwa watu?
Ebu fikiria kuanzia kwenye hiyo ndege,marubani,mafundi, cabin crew, wabeba mizigo,wasafishaji, waongozaji, walinzi, check in clerks, immigration officials. Baada ya hapo nenda kwenye secondary business: Ground transportation, migahama na mahotel, maduka...
Hivi vyote utavikuta ndani ya aviation industry na vinatoa ajira nyingi sana na msingi ni...Hiyo ndege.
 
Mi nimeongelea ajira alizositisha. kwani kila mtu ni pilot au izo kaz ulizo taja, katka ajira alizositisha kunao hata kada moja ambayo imeajiriwa kutokana na kuletwa kwa izo ndege. try to be smart brother.
 
Rais anaizika rasmi Cuf Zanzibar
Na aruhusu cuf nao wafanye mkutano hapo hapo ili tulinganishe na mkutano wake ili tuone nani kamzika nani, we unashindana peke yako bila rival af mwisho wa siku unakuja kujisifia eti umeshinda?
 
Back
Top Bottom