Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Hivi kumbe mkulu Natumia air tanzania? Ile iliyonunuliwa na mkwele ikwap
 
Nasubiri hotuba!
Hata Mie Yakheee
!
Usipoyaalika "makolokolo" ya huko Lumumba kuja kupanga foleni hapa,Uzi huu unaweza kupatwa na jua kiasi cha kuufanya usionekane na kusababisha ukose wachangiaji.Watu walishachoka kusikia hotuba zisizo na "uti wa mgongo" zinazofuatwa na masahihisho baada ya kutolewa majukwaani.
Ahahaha,uko sahihi!naona uzi umepoooa!
 
Rais John Magufuli atua Pemba muda mfupi uliopita akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli baada ya mapokezi yaliyombatana na kikundi cha ngoma, ameenda kuzulu kaburi la aliyekuwa Makamu wa Rais, Dk Omary Ali Juma. Baadaye saa tisa alasiri atafanya mkutano wa hadhara katika uwanja wa Gombani ya Kale, Pemba.

==========

A.jpe


index.jpe
Akaribie kwenye mkutano na wafanyakazi wa serikali tu! Wengine siyo wake period!
 
Rais ni KIONGOZI mkuu wa serikali,wasipo enda wataadhibiwa! AMBAO hawakwenda kukesha na Mwenge Serengeti wana jadiliwa huko!
Udikteta huu
Hata wafanyeje, ningekuwa Pemba nisiongeenda. Wakati wa kumuaga kikwete waliwataka walimu wote wa temeke waende uwanja wa taifa. Niligoma kwa nguvu zote na hakuna kilichotokea.
Mkataba wetu wala sheria za ajira hazimulazimishi mtumishi wa umma kuhudhuria mikutano ya kiserikali.
Labda vizuu wataburuzwa kwa sana tu.
 
Kwani hiyo ndege nayo si ajira pia kwa watu?
Ebu fikiria kuanzia kwenye hiyo ndege,marubani,mafundi, cabin crew, wabeba mizigo,wasafishaji, waongozaji, walinzi, check in clerks, immigration officials. Baada ya hapo nenda kwenye secondary business: Ground transportation, migahama na mahotel, maduka...
Hivi vyote utavikuta ndani ya aviation industry na vinatoa ajira nyingi sana na msingi ni...Hiyo ndege.
Very intelligent point mr.croco D'..
 
Akaribie kwenye mkutano na wafanyakazi wa serikali tu! Wengine siyo wake period!

Sheria ya uchaguzi ukishachaguliwa unakuwa kiongozi wa wote waliokupa kura na waliokunyima kura! Mbunge,diwani,na raisi wakishashinda uchaguzi wanakuwa viongozi wa wote bila kujali ulimpa kura au hukumpa.Hapo hata kama pemba nzima hawakumpa kura huyo ndio raisi.Raisi hawezi kuwa Seif WALA lowasa.
 
hivi kumbe air tanzania wana ndege tayar...
 
Back
Top Bottom