Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Labda unadhani kutumia Fake ID kwako ni usalama... kama ndivyo ulivyodhani, you need to think twice!!
Dora.......????ACHA VITISHO MBURURA, 'YOU CAN GO TO HELL'! NANI ANAOGOPA KUUWAWA NA 'ZOMBIES' WA AINA YAKO? MNAWEZA KUTISHA NA KUUMIZA AU HATA KUUA WATU, LAKINI DORA YETU DAIMA ITABAKI KATIKA MIKONO SAFI NA SALAMA!
Haya bhana.. Umeshinda mkuuWE FYATUA TUU, SISI TUTASOMESHA BURE, ILA MSOSI NA AJIRA JUU YAKO!
Sasa serikali iache kununua ndege kisa wewe huna ajira?Kwel nineamini ajira sio kipaumbele cha serikali hii, yani ndege zinanunuliwa lakini ajira nooh
Sasa itatusaidia nini
We ulitaka apande Fast Jet au Precision air?Hapo Magufuli wetu akionekana kwa mbali dirishani mwa Air Tanzania yetu!
Raisi Magufuli wetu akishuka ktk kwenye Air Tanzania yetu!
(Picha kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!)
Air Tanzania imefufuka!
Unatafuta nini huku? Acha kiherehere!Sasa itatusaidia nini
Magufuli ni chaguo la Mungu.
Kama umpendi nenda kwa Ngwajima akupe dawa..
Kama unataka demokrasia kaishi iraq au libya.