Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

 

Hivi mtu anaweza kukuchafua kwa kunukuu maneno yako?
 
Nimechaguliwa na maskini na nitawatumikia maskini! Mmh sasa watu wawe maskini forever!
 
Ni baada ya kuwepo sintofahamu kubwa tangia uchaguzi uliokuwa na vijimambo Vingci kuisha,amesema anataka Umoja,kwa uhakika speech zake zimejaa Hekima ,busara na matumaini makubwa kwa wananchi wa Zanzibar,ni matumaini yangu kuwa visit yake imeketa mshikamano mkubwa baina ya wanachama wa CCM na CUF,hakika rais tumempata umoja wa kitaifa Zanzabar kuimarika Mara dufu Ndimi Cheyo Mlema,Prospectus DC
 
Mbona mgonjwa bado hali inazidi dorora au wana maombi mmerudi nyuma?
 
Mzee wa vitisho kama kawaida yake hatar tupu
 
Huu ni mtizamo wako lakini kuna wengine nao wansema amefumua vidonda.
Binafsi ningefurahi kama wangewaelekeza walioshinda uchaguzi kuufanya mkutano ule uwe wa kiserikali zaidi kuliko ulivyoonekana leo kuwa wa CHAMA zaidi.
Rais wa Jamhuri ni John Pombe Magufuli na Zanzibar ni SHEIN hilo linaulikana na hakuna haja ya kutaja ndevu za mtu.
 
 
Wacha kutuchekesha wewe
 
Huyu anajua, ila anachokoza tu!
 
Kweli kila mtu ana mtazamo wake. Hata hivyo, maoni yangu mimi, baadhi ya kauli za mkuu huko zenji hazijengi wala kuhuisha umoja wa kitaifa.
 
Akili zako sio timamu! Iko siku utalipa gharama za huu ujinga ulioandika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…