hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Kuna mengi mazuri yenye faida kwa Taifa letu anayoongea Rais wetu Mhe.John Pombe Magufuli , lakini kuna baadhi ya watu ambao naweza kuwaita ni wachochezi ambao wananukuu ka kipengele kadogo na kuanza kumshambulia Rais.
Tafadhali tuulishe umma mambo yenye faida ambayo watanzania watanufaika nayo si kuandika mambo negative kwa Rais.
Kwanza mengine Rais anayaongea kama kufurahisha tu . Tafadhali watu wenye tabia hizi waache.