Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Jamani hii siyo SIASA?? angalieni hata mavazi waliyovaa ni ya kijani!! Mungu anawaona!! endeleeni kutukandamiza tu!!
 
Tuna laani sirikali kuichagua Pemba iwe sehemu ya kupatwa kwa demokrasia
 
Japo amenitoka rohoni kiasi fulani, ila namsikiliza hapa anavoongea ananichekesha sana. Taratibu nadhani akiendelea kutoa hotuba zake kwa wananchi nadhani wanaweza kuanza kumuelewa.

Rais ana maneno ya mizaha aisee hahahaha.... Eti mfano mwanaume anaota usiku una.... amesita kumalizia baada ya kujua yupo Pemba sijui alitaka kusema nini? 😛😛😛
 
Eti kuna mtu alijifungia chumbani akasema ametoka ulaya!!!

Kwa Mara nyingine kabweka tena
 
Hahahhaha kuna mtu alijifungia chumbani halafu akasema amekwenda ulaya..
 
Nitafurahi sana endapo ziara yake huko pemba itatoa suluhu ya mkwamo wa kisiasa kati ya cuf na ccm visiwani huko.
Suluhu gani? ni ubabe tu kama kawaida! na kusema Jecha apewe tuzo kwa kuchakachua!! Kuna kazi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…