Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Unashangaa hilo kufanyika Pemba?Bora huko Pemba ambako kama si "kupatwa kwa demokrasia" kulikofanywa na zecccm,hakuna awezaye kupoteza muda kwa mambo hayo.

Unakumbuka kilichofanyika Sengerema Mwanza?Sehemu ambayo hotuba za kampeni za urais zilikuwa zikihutubiwa kwa kilugha,bado watu walilazimishwa kukesha kwenye mwenge.Watumishi wa umma walilazimishwa kusaini madaftari ya mahudhurio Mara Tatu kuanzia usiku wa manane!Hiyo ndiyo serikali ya mwendokasi,kila kitu kinafanywa kwa nguvu ili kiakisi utukufu wa mkuu!
Jamani hii siyo SIASA?? angalieni hata mavazi waliyovaa ni ya kijani!! Mungu anawaona!! endeleeni kutukandamiza tu!!
 
Tuna laani sirikali kuichagua Pemba iwe sehemu ya kupatwa kwa demokrasia
 
Japo amenitoka rohoni kiasi fulani, ila namsikiliza hapa anavoongea ananichekesha sana. Taratibu nadhani akiendelea kutoa hotuba zake kwa wananchi nadhani wanaweza kuanza kumuelewa.

Rais ana maneno ya mizaha aisee hahahaha.... Eti mfano mwanaume anaota usiku una.... amesita kumalizia baada ya kujua yupo Pemba sijui alitaka kusema nini? 😛😛😛
 
Eti kuna mtu alijifungia chumbani akasema ametoka ulaya!!!

Kwa Mara nyingine kabweka tena
 
Hahahhaha kuna mtu alijifungia chumbani halafu akasema amekwenda ulaya..
 
Back
Top Bottom