Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,173
- 823
Hiyo ndo ndege mpya tuliyoambiwa serikali imenunua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hii siyo SIASA?? angalieni hata mavazi waliyovaa ni ya kijani!! Mungu anawaona!! endeleeni kutukandamiza tu!!Unashangaa hilo kufanyika Pemba?Bora huko Pemba ambako kama si "kupatwa kwa demokrasia" kulikofanywa na zecccm,hakuna awezaye kupoteza muda kwa mambo hayo.
Unakumbuka kilichofanyika Sengerema Mwanza?Sehemu ambayo hotuba za kampeni za urais zilikuwa zikihutubiwa kwa kilugha,bado watu walilazimishwa kukesha kwenye mwenge.Watumishi wa umma walilazimishwa kusaini madaftari ya mahudhurio Mara Tatu kuanzia usiku wa manane!Hiyo ndiyo serikali ya mwendokasi,kila kitu kinafanywa kwa nguvu ili kiakisi utukufu wa mkuu!
Suluhu gani? ni ubabe tu kama kawaida! na kusema Jecha apewe tuzo kwa kuchakachua!! Kuna kazi!!Nitafurahi sana endapo ziara yake huko pemba itatoa suluhu ya mkwamo wa kisiasa kati ya cuf na ccm visiwani huko.
ndo ongea yake tangu azaliwe,mzooeeni tu,hamna jinsiSijui kwanini rais anapenda kutoa hotuba za vitisho namna hii.
Wanaenda Wapi?MBONA WATU WANASEPA