Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama atashughulikiwa mara moja kisheria, ni kwanini basi aambiwe yeye hata kwa kunong'onezwa?! Kwanini asingetoa agizo kwa mamlaka husika na badala yake anataka aambiwe yeye?!wacha uchochezi wewe. kama una akili huwezi kutafsiri literally kila tamko la rais. akisema atashughulikia mkorofi kwa dakika tano wewe umataka watu waone kama ataua mtu kumbe ni kuonesha atashughulikiwa mara moja tena kwa sheria. hivi ndivyo tunaomuunga mkono jpm tunachukulia. ila wale wanaochukia anavyoshughulika kuleta utii wa sheria na nidhamu nchini ndio wanahamaki na wana donge moyoni.
kuna maamuzi ya kiutawala hayahusu mahakama. maamuzi ya kiutawala yapo kwa mujibu wa sheria. rais ana mamlaka kisheria ya kutenda na kuamua mengi. ila kama unamchukia kwa sababu binafsi kila alifanyalo utaona sivyo. kama hupendi anavyozungumza hilo ni tatizo lako. yeye ni rais wa jamhuri kwa mujibu wa katiba na sheria.Sasa kama atashughulikiwa mara moja kisheria, ni kwanini basi aambiwe yeye hata kwa kunong'onezwa?! Kwanini asingetoa agizo kwa mamlaka husika na badala yake anataka aambiwe yeye?!
Hudhani busara ingekuongoza kuielezea hiyo kauli vizuri?! Au ni mwendelezo wa utani wa Mheshimiwa Rais?Umeielewa vibaya kauli ya Raisi nadhani. Kama na ww ni mmoja wa hao wanaotaka kuleta vurugu hiyo kauli lazima ikutishe lakin kama ni mmoja wa wapenda amani hiyo kauli hata haikuhusu kabisa
Toa mfano mmoja tu!!kuna maamuzi ya kiutawala hayahusu mahakama. maamuzi ya kiutawala yapo kwa mujibu wa sheria. rais ana mamlaka kisheria ya kutenda na kuamua mengi. ila kama unamchukia kwa sababu binafsi. kila alifanyalo utaona sivyo. kama hupendi anavyozungumza hilo ni tatizo lako. yeye ni rais wa jamhuri kwa mujibu wa katiba na sheria.
Aaaaah, mbali sana huko mkuu.Kazi tunayo.
Namuona ADOLF kwa mbali.
Yeye ni bosi kuliko katiba na sheria zingine ? Muhimu kupenda lakini inapofika kujenga hoja jitahidi utumie kichwa na sio moyo ndugukuna maamuzi ya kiutawala hayahusu mahakama. maamuzi ya kiutawala yapo kwa mujibu wa sheria. rais ana mamlaka kisheria ya kutenda na kuamua mengi. ila kama unamchukia kwa sababu binafsi kila alifanyalo utaona sivyo. kama hupendi anavyozungumza hilo ni tatizo lako. yeye ni rais wa jamhuri kwa mujibu wa katiba na sheria.
Mnachanganya kati ya UKALI na VITISHO!Enzi za Rais Kikwete kutokana personality yake ya kutokuwa mkali basi mlimtukana na kumdharau kweli, Mnyika alithubutu kumuita eti Rais ni impotent halafu alitukania bungeni lkn bado Kikwete alitabasamu.
Kina Mbowe walikuja na movement za ajabu ajabu kweli,Mara operesheni Sangara,mara operesheni nini sijui...yaani ilikuwa ni vurugu.
Mwisho kabisa wanaChadema mkadai kwa nguvu zote kuwa mnataka Rais mkali na akisema neno kila RAIA aelewa Rais kasema.
Mungu akasikia kilio chenu na akamleta JPM ili kuokoa hiki kizazi cha Nyu.mbu
Na mna bahati sana Rais sio mimi, vinginevyo...................!!!!!!
NB: Rais wangu Mh. Magufuli punguza upole.
kwa hiyo m wanachagua rais kutokana na matakwa ya Chadema? Kesho Chadema wakitaka Rais mvuta bange CCM mtamchagua sio?Enzi za Rais Kikwete kutokana personality yake ya kutokuwa mkali basi mlimtukana na kumdharau kweli, Mnyika alithubutu kumuita eti Rais ni impotent halafu alitukania bungeni lkn bado Kikwete alitabasamu.
Kina Mbowe walikuja na movement za ajabu ajabu kweli,Mara operesheni Sangara,mara operesheni nini sijui...yaani ilikuwa ni vurugu.
Mwisho kabisa wanaChadema mkadai kwa nguvu zote kuwa mnataka Rais mkali na akisema neno kila RAIA aelewa Rais kasema.
Mungu akasikia kilio chenu na akamleta JPM ili kuokoa hiki kizazi cha Nyu.mbu
Na mna bahati sana Rais sio mimi, vinginevyo...................!!!!!!
NB: Rais wangu Mh. Magufuli punguza upole.
Mi simo... usije ukasema ulikuwa unachangia mada yangu! Mi simo kabisa!! Lile hitimisho la kwamba "...am ready to face...!" ni utani tu ule jombaa!!!Kazi tunayo.
Namuona ADOLF kwa mbali.
Acha kulalamika fanya kazi mshukuru mungu kwa kupata raisi tuliekua tunamlilia siku zote.Kwa bahati mbaya, jana sikupata fursa ya kufuatilia ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano huko kisiwani Pemba!! Kutokana na hilo, leo nikaamua kuperuzi peruzi hapa JF. Kitu ambacho kimenishitua sana kama sio kunitisha ni kauli ya Mheshimwa Rais JPM aliyomwambia Mheshimiwa Dk. Shein. Hii ndio kauli ya JPM ambayo imenishitua kwa kweli:
Binafsi nashindwa kuamini ikiwa Rais aliyechaguliwa kupitia sanduku la kura, bado anaweza kuwa na kauli kali na ya vitisho namna hiyo!! Sasa ikiwa ni kweli mtu ameshindikana na Mheshimiwa Shein; yeye Mheshimiwa JPM atamfanya nini huyo mtu ndani ya hizo dakika 5?! Hapa lazima niwe na hofu kwavile JPM ni Commanding In Chief na majeshi yote yapo chini yake! Ni wapi tunaelekea kwenye hili taifa?! Mbona ikiwa mambo yenyewe kama ndo haya mbona hayo magereza yenu hayatatosha kufunga "wachochezi"?
Nafahamu wapo wanaofurahia na kushadadia kauli kama hizi huku wakidhani haziwahusu!! Pamoja na yote hayo, mnapaswa kufahamu fika kwamba; wote nyinyi hata kama mna kadi za CCM bado ni vidampa tu mbele ya yule Kingunge Ngombale Mwiru wa CCM!! Hata kama mna kadi tangia enzi za TANU, wote nyinyi ni vidampa tu mbele ya mtu kama Lowassa au Fredrick Sumaye wa enzi za CCM! Na si ajabu, ni vidampa hata mbele ya mtu kama Lawrence Masha aliyepata kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchi hii!!
Hii maana yake nini? Usidhani vitisho kama hivi wewe havikuhusu kwa sababu tu wewe ni kada wa CCM! Kama ndivyo unavyodhani, basi uelewa wako ni mdogo kupitiliza! Nimewataja hapo akina Kingunge ambao miezi 30 tu iliyopita nao wangedhani kauli za vitisho kama hizo haziwahusu! Je, mtu kama Lowassa ambae hapo kabla angedhani kauli kama hiyo haimuhusu leo anaweza kudiriki kusema hivyo? Who are you ndani ya CCM compared to Kingunge Ngombale Mwiru? Ingawaje Kingunge ametoka CCM; hivi unaamini vigogo kama Mzee Mwinyi au Pius Msekwa anaweza kukuamini kada wewe kuliko Mzee Kingunge?!
Endeleeni kufurahia kauli za vitisho kama hizi lakini kaa mkifahamu hili si la mmoja! Wakati inapitishwa Sheria y Mitandao niliamini kwamba hainihusu kwa kile nilichoamini nikiwa na akili yangu timamu siwezi kuingia online na kuanza kutukana watu, kuanza ku-post picha za utupu n.k! I swear to God, niliamini hainihusu kabisa na hata hapa niliwahi kuandika kwamba "A black cat may be a bad lucky only if you're mouse!" Lakini leo hii hakuna sheria ninayoiogopa kwenye hii nchi kama sheria ya mitandao ambayo, practically imebadilika kutoka kuwa Sheria ya Mitandao to Sheria Ya Kubana Maoni!
Ajabu ni kwamba, utakuta wengi wanaoshabikia kauli kama hizi hapa JF ni vijana wadogo wengine wakiwa below 30. Don't be stupid, you've a very long way to go!! Hilo hilo unaloshabikia leo wakati hata direction ya maisha yako haija-settle ndio hilo hilo litakalokutafuna kesho kwenye harakati zako za kimaisha!
Ikiwa kupinga kauli ya Rais ni UCHOCHEZI, am ready to face consequences lakini kauli hiyo ya Rais haileti picha nzuri kutoka mdomoni mwa Rais aliyechaguliwa kwa sanduku la kura. Haipendezi kutoka mdomoni mwa Commanding In Chief ambae Majeshi ya Ulinzi na Usalama yapo chini yake!
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Labda wewe na hao wenzako lakini binafsi na wote ninaowafahamu hatujapata katika maisha yetu "kumlilia" rais anayedhani vitisho ndiyo suluhu ya matatizo!!A
Acha kulalamika fanya kazi mshukuru mungu kwa kupata raisi tuliekua tunamlilia siku zote.
Hao wote unaowasifia ni bure kabisa.Mtu anayekijua chama hawezi hama chama hata siku moja.Huwezi acha mbachao kwa msala upitao.Kuna kitu kinaitwa CONSISTENCY katika mambo ya Party struggle.Unakipagania chama jua liwake,mvua inyeshe.Mtu anayekijua chama vizuri atasimama nacho milimani na mabondeni,kwenye vita na kwenye raha.Hao walioomna vita imekolea wakatimua hawana misimamo si askari wazuri wa chama chochote.Hata huko waweza watoroka wakaenda chama kingine au kurudi CCM sababu ni watu ambao huvunjika moyo upesi wakiona vita nzito.
Tuliobaki CCM ni chuma cha pua.Hao wote unaowasifia hawana hamu na sisi.Sisi Ni wapigania chama wasiochoka wala kusinzia tulipwe ,tusilipwe tuko na CCM yetu TUKIIPIGANIA MCHANA na usiku ili nchi iendelee kuwa na amani na utulivu na wasioitakia mema kuhakikisha hawashiki Nchi hii kwa jinsi yeyote ile iwayo.
Tunaipigania CCM sababu tunaamini kuwa ndicho chama ambacho kina uwezo wa kusimamia maslahi ya walio wengi katika nchi hii tofauti na vyama vingine ambavyo mlengo mkuu ni kusimamia maslahi ya wachache.