Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Umeielewa vibaya kauli ya Raisi nadhani. Kama na ww ni mmoja wa hao wanaotaka kuleta vurugu hiyo kauli lazima ikutishe lakin kama ni mmoja wa wapenda amani hiyo kauli hata haikuhusu kabisa

Kwa hapa Tanzania kote bara na visiwani hakuna raia au kikundi chhochote cha watu waliotishia kuleta vurugu au hata kuwa na uwezo wa kuleta vurugu hizo. Kauli za kuletwa vurugu ni kauli za vitisho zinazotelwa na serikali na mijitu ya ccm iliyojaa hofu ya kupoteza ushawishi kwa wananchi. Kwa kutishia wananchi kutowaunga wapinzani na watu wenye mawazo mbadala kwa eti wana nia ovu ya kuleta vurugu. Infact kwa yale yanayotokea pande zote za nchi ambako majeshi na polisi wamepewa order ya kuwanyamazisha wapinzani, wakifanya kazi zao za kisiasa ambazo kimsingi zinatakiwa kujibiiwa vivyo hivyo kisiasa,,ndiyo chanzo cha vurugu na kwa ukweli wake serikali ndio inafanya uchochezi wa wa wazi na kupelekea kuvunjika kwa amani. ...Anyway mimi siku hizi simsikilizii huyo jamaa hata sisomi habazi za hotuba zake manake inahitaji both akili ya kipekee na ya kawaida sana kumwelewa!!..
 
Kesho atajitokeza waziri wa muungano atasema rais alikuwa anawatania watani zake wapemba
Na hata hapa washasema kwamba "nimemuelewa vibaya!" lakini kila niliyemuomba anipe ufafanuzi wa usahihi wa hiyo kauli, bado ufafanuzi sijapata na sidhani kama nitakuja kuupata!!
 
Ulikuwa unategemea aseme atakayeshindikana kwa Dr Shein ataitwa na Magu wapate juisi ikulu Kikwete aliwalea mkajisahau .
Magufuli arudi kwa waliomtangulia ili wamuelimishe kuhusiana na siasa za visiwa vya unguja na pemba
 
Mkuu wa nchi anapokwenda sehemu anapaswa kutoa maneno ya hekima hata kama ni kwaunafiki..

Kejeli,ubabe,mahasirahasira si sifa za kiongozi bora..
 
hana jipya,mwaka wa pili unaenda huu kazi matamko na teuzi
 
Nilisikia eti alimuita Shein 'handsome'
[emoji134][emoji134][emoji134]
 
True.

Sasa hivi mtu ukisoma magazeti kila mada kuu inayomhusu Rais ina theme ya Vitisho.

Tumechoka na hii theme moja ya kila kitu vitisho tu. Wananchi tunataka tuone mabadiliko. Kuna sekta kama elimu, ajira, viwanda na usafirishaji bado ni duni. Tunataka kuona changes. Hata bara bara ya stendi za Makumbusho na Mawasiliano mpaka leo tangu stendi zianzishwe hazijengwi katika kiwango cha maana?

Tunahitaji kuona hali ya Tanzania inabadilika. Bado kuna safari ndeefu sana kuboresha maendeleo ya nchi.
Kuhusu barabara ya makumbusho stand hivi ipo chini ya Tanroads au Manispaa?
 
Sasa hapo hoja yako ipo wapi? Kupinga kauli ya raisi? Au kuwapasha hao unaodhani wanashabikia kauli ya raisi? Maana me sijakuelewa kabisa.
 
Wewe ulitaka kuongelea CCM ama kauli ya rais? Raisi kamaliza kazi Wenye kujifanya wanaijua sana demokrasia kazi kwenu
 
Maneno kibaoo utafikiri unafunda mwari ngomani au upo kichen party vile! kama we ni mwanaume ingia barabarani , yaani wewe kwenye hotuba yote umeliona hilo tu? nyie ndio propanda machines
Imepenya hiyo!
 
Kwani Magufuli alienda Zanzibar kufanya nini? Sijaona jambo lolote alilogusia kwenye dhumuni la ziara yake

cc. FaizaFoxy
Kaenda kuwachana chana wapemba.Kamaliza mgogoro wa miaka mingi baina ya wapemba a waunguja kwa lisaa limoja tu.
 
PRESIDENT MUSEVEN OF UGANDA ADMITS TO PICK LESSONS ON HOW TO FIGHT CORRUPTION FROM PRESIDENT MAGUFULI OF TANZANIA.

President Yoweri Museveni has issued a strong warning to ministers against engaging in corruption, else risk facing stiff penalties when caught.

Speaking at the closure of the two-day cabinet retreat held in Wakiso, the President said corruption was an impediment to the much desired development of the country.

“It's a shame that some ministers, politicians and other senior government officials solicit bribes and favours from investors, frustrating many of them into leaving the country while tarnishing our image,”
"I think i have learned more of how to fight this cancer from my counterpart HE President Magufuli of Tanzania" President Museveni said.
 
WALE WABADHILIFU NA WABAAISHAJI WANAITAMBUA VYEMA HII SAFU.. SIO RAHISI HATA KIDOGO KIBAKA NA FISADI KUPENYA WALA HATA KURUKA KIUNZI CHA SAFU HII.. CCM RAHA SANA MAANA KUNA SAFU ZA KUTOSHA KUWAPANGUA WABABAISHAJI. SASA SIJUI KAMA MAJIRANI ZETU UKIWA WANAO UTARATIBU NA SAFU KAMA HII. AU MBOWE NA FAMILIA YAKE NDIO SAFU
[HASHTAG]#HiiNdioCcm[/HASHTAG]
 
Kama ni kweli Rais anataka kujenga Tanzania isiyojali itikadi za vyama ni bora ajiepushe na vijembe vijembe anavyovichomekea kwenye hotuba zake za kila siku. Kwa hotuba hii sidhani kama ameacha hali shwarI huko Pemba. Wakati anaonyesha nia ya kujenga inawezekana kabisa akawa anabomoa bila kujua.

Probably ni muda muafaka aachane na hizi ziara za kutoa Shukurani kwa vile zimekaa kichama zaidi ya kitaifa. Ukiangalia huo mkutano mavazi ya CCM yalitawala. Kama kweli CUF walikuwepo mbona wao hawakuwa na mavazi yao ya kichama kama wana CCM. Same story kwenye mkutano wake wa Mwanza.
 
"Ikulu ni mahali patakatifu.Sikuchaguliwa na wananchi wa Tanzania kuja kupageuza pango la walanguzi"-Mwalimu Nyerere

Asante Mh Rais Dkt Magufuli kwa kuyaishi maneno ya Baba wataifa letu na kuonyesha sura yako ya mabadiliko ya kweli .

Hapa Kazi Tuu
 
Back
Top Bottom