Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Ziara hio ametembelea miradi miwili ya maendeleo mmoja pemba na mwengine unguja ambalo aliweka mashada ya maua. Pia alifanya mikutano miwili.mmoja unguja na mwengine pemba.
Tutaonana tena 2020 kukagua tena miradi yetu hiyo
 
Nawashangaa sana. Hapa unguja na pemba pametokea wizi wa KURA. Huwezi kuhalilalisha haramu. Haiwezekani leo musema eti yamekwisha na kusahau mumekataliwa na wazanzibari. Sisi hatukuwapigia KURA CCM. Kinachoendelea ni UKOLONI wa muafrika dhidi ya muafrika mwenzake kwa kisingizio. Hatukubali uraisi huuu na utawala wake. Huyo kibaraka hawezi kwenda hata msikitini anaogopa watu wanamzomea kila endapo. Anatutishia jeshi na vyombo vya usalama. YAGUJU. Huo umewaganda wala sio MAKUFULI wala MABOMU yatakayo wasaidia. Mwaka huu tunakwenda sambamba mpaka kieleweke.
 
Sheni kamwita akamsaidie kuunganisha watu wake yeye ndio kenda kuzidi kuwachochea. Au nia ilikua ni kutulizanisha wale wanachama wa CCM wanaopata kitumbojoto wakimsikia maalim. Hii hutuba yake nimeisikiliza ni aibu kutoka kwa Raisi.
 
ACHA VITISHO MBURURA, 'YOU CAN GO TO HELL'! NANI ANAOGOPA KUUWAWA NA 'ZOMBIES' WA AINA YAKO? MNAWEZA KUTISHA NA KUUMIZA AU HATA KUUA WATU, LAKINI DOLA YETU DAIMA ITABAKI KATIKA MIKONO SAFI NA SALAMA!
Hujitambui boya wewe!! Hivi unafahamu kwanini niliandika hivyo au unakurupuka tu na kuanza kumwaga povu hapa bila kutafakari?! Au ndo umepata smartphone cku za karibuni kwahiyo ulikuwa na mshawasha wa social networks?!
 
Hujitambui boya wewe!! Hivi unafahamu kwanini niliandika hivyo au unakurupuka tu na kuanza kumwaga povu hapa bila kutafakari?! Au ndo umepata smartphone cku za karibuni kwahiyo ulikuwa na mshawasha wa social networks?!
Mi nilikuona wa maana kiasi cha kuifanya 'quote' yako signature yangu, nashangaa unaanza kuchimba watu 'mikwara uchwara', sa'sindo'nkakuchenjia! Sorry bro!
 
Kuna mengi mazuri yenye faida kwa Taifa letu anayoongea Rais wetu Mhe.John Pombe Magufuli , lakini kuna baadhi ya watu ambao naweza kuwaita ni wachochezi ambao wananukuu ka kipengele kadogo na kuanza kumshambulia Rais.

Tafadhali tuulishe umma mambo yenye faida ambayo watanzania watanufaika nayo si kuandika mambo negative kwa Rais.

Kwanza mengine Rais anayaongea kama kufurahisha tu . Tafadhali watu wenye tabia hizi waache.
 
Kwahiyo vingine anaongea havina maana!Nauliza tu
 
Mbona wewe hujatoa mfano kwa kunukuu vitu vyenye manufaa..mimi naanza na hili "nitawashughulikia mafisadi popote walipo na nashukuru tumeshajenga mahakama za mafisadi ili wale wote wanaolihujumu taifa wafungwe huko"
 
Kuna mengi mazuri yenye faida kwa Taifa letu anayoongea Rais wetu Mhe.John Pombe Magufuli , lakini kuna baadhi ya watu ambao naweza kuwaita ni wachochezi ambao wana nukuu ka kipengele kadogo na kuanza kumshambulia Rais ,Tafadhali tuulishe uma mambo yenye faida ambayo watanzania watanufaika nayo si kuandika mambo negative kwa Rais. Kwanza mengine Rais anayaongea kama kufurahisha tu . Tafadhali watu wenye tabia hizi waache.

Nimependa andiko lako...lakini kumbuka kuwa hiyo ni mbinu na mkakati wa kisiasa wa upinzani na ambao umeandaliwa mahsusi ili aonekane Rais hafai...Sana sana wanatumia mitandao, wako ambao humu JF wana ID mpaka 15 kwa ajili hiyo tu, ya kuchukua vipande vya hotuba za JPM na kuanza kujenga hoja...ni ulimwengu wa teknolojia, ni namna mpya ya kumchafua Rais na mamlaka, ila ni bahati mbaya kwamba mamlaka haijagundua hilo au inapuuza....
 
Kuna vitu vingine anatuchanganya hasa, anasema yeye hawezi kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumsalimia wakati huohuo anahubiri watanzania tushikamane! Hapo unaanzaje kutetea? Kiukweli hotuba zake zinanitia huzuni, nakosa furaha na amani!
 
Back
Top Bottom