Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

Dak 5. Dak 5. , inaonekana hizo ndio dak nying kutekeleza azma yake. Huenda dak 1 tu inatosha kukushughulikia kwake yy
 
Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!

Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Acha kujifanya limbukeni wakati upo timamu
Magufuli akiamua kumshughulikia mtu ndani ya Jamhuri hii atashindwa vipi?
 
mwl nyerere alikuwa akitoa hotuba yake tena bila ya kuandikiwa popote pale basi hotuba iyo inaweza kuwa yenye mafundisho makubwa na yenye kukubalika na kila mtu nje na ndani ya nchi yetu je kwaivi sasa kuna kiongozi wa afrika ambaye hotuba yake inaweza kuwa na mafundisho walau ikadumu kwa nusu siku tu naomba majibu yenu wadau?
 
Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!

Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Alichomekea tu kama kawaida yake!
Kama kawaida yake, watu wataanza kupotea ndani ya dakika tano!
 
mwl nyerere alikuwa akitoa hotuba yake tena bila ya kuandikiwa popote pale basi hotuba iyo inaweza kuwa yenye mafundisho makubwa na yenye kukubalika na kila mtu nje na ndani ya nchi yetu je kwaivi sasa kuna kiongozi wa afrika ambaye hotuba yake inaweza kuwa na mafundisho walau ikadumu kwa nusu siku tu naomba majibu yenu wadau?
None!
 
Hivyo siyo visasi ni kuondoa tatizo. Asiye na nidhamu au uadilifu atatumbuliwa. Watumishi wa umma walijisahau sana wakawa mabosi wa wananchi badala ya wahudumu wao.
Tatzo haliondelewi kwa nguvu ww wakati mwingne busara itumike acha kupelekwapelekwa kisa ww ni kada kila upuuzi unasuport 2 tumia elimu yako kufikiri bro
 
Eti dakika tano tu, hivi huyu mtu huwa anapima kauli zake kabla ya kuongea au huwa anatamka tu kujifurahisha
 
Kwa maana ndani ya dakika tano atakuwa ameshamkomesha kwa usumbufu anaoufanya, ishu ni kwamba njia gani zitatumika ili ndani ya dakika 5 jambo liwe limekamilika?
 
Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!

Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Mbona ni rahisi tu mkuu....Nadhani atawaagiza wale jamaa wa miwani mieusi wampeleke jehanamu.....
 
Kwa mbulula hatoweza kumwelewa kwa sasa, baadhi mnadai TZ haikustahili rais kama huyu, unadhan nani angefaaa kwa nchi ilivyokuwa imeoza, kwa mida mchache amefanikiwa kutuonesha kuwa tulikokuwa tunaelekea siko. Matunda yake mtaanza kuyaona baada ya miaka miwili ndo kwanza hata mwaka hajamaliza. Baada ya miaka miwili tukikutana hapa tena msigeuke mbaki kuwa mawe hivyo hivyo. Nisiandike sana nitashikwa na hasira kwa nyumbu nyie wadogo
 
Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!

Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Ndoto ya kufikirika kama sinema ya rambo
 
Ningehakikishiwa usalama wa id yangu humu jf ningetoboa makandokando yote ya watu aina ya malaika watakatifu ila hapa ndo tupo gizani wakosoaji tunawindwa usiku na mchana. Mungu awalaani wote wenye mioyo ya chuki kwa wanadamu wenzao.
 
Back
Top Bottom