johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesimamisha safari zote za ndege kutoka nje ya nchi zikiwemo zinazoleta watalii.
Serikali imechukua uamuzi wa kuzuia ndege za watalii ili kulinda maisha ya watu wake japokuwa uamuzi huo una athari kubwa kiuchumi.
Waziri wa utalii mh Kombo amesema wageni watakaofanikiwa kuingia basi watawekwa katika karantini kwa siku 14 kwa gharama zao.
Kombo amesema maisha ya Wazanzibar ndio kipaumbele cha SMZ
Chanzo: ITV habari!