mzeemitomingi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 267
- 74
hadi saiz nashangaa TZ mipaka ,airport bado zinafanya kazi, sjui ndio kujiamini? ulaya kwenyewe vifo vinafika 400 kwa siku ,ivi apa tz kwa siku itakuwaje?, watu tukubaliane tu na hali tufunge airports hata japo siku 14 wakati tunahangaikia hawa 6