JipuKubwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 2,342
- 2,390
Kama siyo muungano huu Zenji ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwani huko kuna waziri wa utalii tofauti na wetu huku Tanganyika?
In God we Trust
Swala la usafiri wa anga ni swala la Muungano.. Swala la usalama ni swala la Muungano sasa inakuaje Zanzibar itangaze ilo jambo la Muungano?
Mleta mada / habari ebu tupe source
Huyu nae ana.nafasi nyeti tu bavicha,lakini hajui katiba ya nchi,pole sana kamanda
Yuko Waziri wa Utalii ambaye anafanya kazi nje ya Muungano
Endelea kuota mchanaKuna siku utashangaa unakuja kuniomba ruhusa ya kwenda kwenu koromomije na hapo ndipo nitajitambulisha kwako mimi ndiye Mmawia
In God we Trust
Endelea kuota mchana
Wana pressure gani? Kuheshimiana muhimu
Kuna kipaumbele gani kwa serikali makini zaidi ya maisha ya watu wake? Uongozi wetu poa!!Inategemea na vipaumbele!
Zenji wana akili sana ila bado haisadii maana naweza kuja hadi Dar then nikapanda boat to Zenji. Hii ni sawa na unaziba huku, kule kuko wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app