Hongera zao walau wamejitambua na kufanya maamuzi sahihi japo wamechewa
Hata hivyo,huenda hakuna tena watalii wanaoingia Zanzibari au wamepungua kwa kiasi kikubwa hivyo nao wameamua ku-take advantage na kujidai wanasitisha hizo safari kwani wamechelewa mno kuchukua haya maamuzi.
Tusisahau, baadhi ya Mataifa, mfano Marekani,wamewataka raia wao kurudi nchini mwao.
Wanasiasa,hasa hawa wa CCM,sio wa kuwaamini sana ingawa huenda wazanzibari hawa wanaponzwa na wanasiasa wenzao wa Bara katika kufanya maamuzi.