Kwani huko kuna waziri wa utalii tofauti na wetu huku Tanganyika?
In God we Trust
Bwashee....... Source ni Waziri wa Utalii na mambo ya kale mh Thabit kupitia mwandishi nguli Farouk Karim wa ITV!Swala la usafiri wa anga ni swala la Muungano.. Swala la usalama ni swala la Muungano sasa inakuaje Zanzibar itangaze ilo jambo la Muungano?
Mleta mada / habari ebu tupe source
Inawezekana wamechoka kuburuzwa.Swala la usafiri wa anga ni swala la Muungano.. Swala la usalama ni swala la Muungano sasa inakuaje Zanzibar itangaze ilo jambo la Muungano?
Mleta mada / habari ebu tupe source
Basi Muungano umevunjika rasmi..Kwahiyo nasi tunaotokea Tanganyika atuendi tena huko nchi ya Zanzibar?Bwashee....... Source ni Waziri wa Utalii na mambo ya kale mh Thabit kupitia mwandishi nguli Farouk Karim wa ITV!
Utalii siyo jambo la muungano bwashee!
Utawekwa karantini kwa siku 14 kwa gharama zako!Basi Muungano umevunjika rasmi..Kwahiyo nasi tunaotokea Tanganyika atuendi tena huko nchi ya Zanzibar?
UsinitisheUtawekwa karantini kwa siku 14 kwa gharama zako!
Hakutishi ndo ukweli,mtalii hawezi kuja kwa likizo ya week mbili halafu akae tena karantini kwa siku 14 kwa gharama yakeUsinitishe
Kigwangala huyu huyu anayehesabu noti kwa mate?!!!Nimeuliza ili kupitia jibu Kigwangala ajifunze
In God we Trust
Kigwangala huyu huyu anayehesabu noti kwa mate?!!!
Hahahaaaa........ Utakuwa si mwenyeji kule twitani!Duuuu huyo simfahamu bali namuongelea yule wa Nzega
In God we Trust
Mimi huko siyo mwenyeji kabisaHahahaaaa........ Utakuwa si mwenyeji kule twitani!
Huyu nae ana.nafasi nyeti tu bavicha,lakini hajui katiba ya nchi,pole sana kamandaKwani huko kuna waziri wa utalii tofauti na wetu huku Tanganyika?
In God we Trust
π π π π π πharaka haraka?