mzeemitomingi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 267
- 74
Zanzibar inategemea utalii zaidi ya Tanganyika. SMZ imefanya maamuzi magumu kulinda afya ya wanzazibari.Bara hatuwezi kuzuia safari za ndege, tutafilisika tukifanya hivyo
Wanajua Tanganyika ipo itawabeba kama kawaida,hivyo hawana hofu za kiuchumi.Bara bado wana mbwelambwela
Tanzania bara hatuwezi kuishi kama kisiwa. Sisi tutaendelea kupokea wageni kutoka popote
Kuhusu Utalii ,Zanzibar we have little to loose than Tanganyika, Kwa kuwa Fedha zote za VISA zinaingia Muungano,na sisi hatujapewaga gawio tangu 1964 ,Utalii siyo jambo la muungano bwashee!
Mbweha weee, Tangu lini tumekula vyenu,Wanajua Tanganyika ipo itawabeba kama kawaida,hivyo hawana hofu za kiuchumi.
macson
Mkuu sio kama hakuna utalii, utalii upo ila hiki kipindi ni "low season" watalii hua wachache kutokan na msimu wa mvua huku kwetu.Ukweli ni kwamba kipindi hiki hasa hakuna utalii,labda waliokimbia nchi zao kuja Africa kwa usalama
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mkuu ungejua mapato ya utalii yanaenda wapi hata usingesema hivyo!!!Wanajua Tanganyika ipo itawabeba kama kawaida,hivyo hawana hofu za kiuchumi.
macson
hapo bandarini anapimwa nani? kila anaeshuka boti au wakiona mzungu tu?
Wacheni uzuzu Watanganyika wapotevu kiukweli huo Muungano mwa ujuwa nyinyi tuu SMZ bukheri ipo kulinda maslahi ya watu wakejohnthebaptist,
Swala la usafiri wa anga ni swala la Muungano.. Swala la usalama ni swala la Muungano sasa inakuaje Zanzibar itangaze ilo jambo la Muungano?
Mleta mada / habari ebu tupe source
Ilo haliwezi tokea kumbuka Majaliwa alipotua ZANZIBAR akambika mkwala Katibu Mkuu Wizara ya Biashara kusimamisha uingizwaji wa Sukar toka njee jiulize leo hilo lilitejelezwa?
Itakua kitu moja safi sana!Basi Muungano umevunjika rasmi..Kwahiyo nasi tunaotokea Tanganyika atuendi tena huko nchi ya Zanzibar?
Hiyo Zanzibar ndio nchi gani?ipo Afirika au Ulaya?