Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Hamkuitwa kuja zenji mumekuja wenyewe kwaio haya ndo maisha yetu

ukitaka Maisha yako bara kupo nenda uko wala huulizwi
Na wala sie hatuwataki sijawai kufika huko nacwala sifikilii kufika
 
Ndiyo maana sina mpango wa kwenda Zanzibar na soon watalii wataacha kuja huko, this is beyond stupidity.
Ww umekuja mjini juzi tu tulia apo
hao watalii wangekua washaacha kuja miaka nenda miaka rudi

Kwani iyo sheria imeanza leo zenji?
inaonesha ww ni wa kuja tu huna ulijualo
 
Na wala sie hatuwataki sijawai kufika huko nacwala sifikilii kufika
hhhhhhhhh
na usifikilie(usifikirie) kufika mana hutuongezei wala hutupunguzii chochote
 
Zanzibar ikifika saa Kumi nambili jioni vituo vya kuuzia mafuta wanafunga wauzaji wanaenda kufutari na kusali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani hili ni mara ya kwanza kufanyika zanzibar?
Nani anakunyanyasa ww acha upimbi kijana
Kumbe mzee unaelewa kwamba hii si Mara ya kwanza, sasa kufunga kwenu ndo mfunge na migahawa yetu?
 
Hata hpo unapofikia pamejengwa na wabara ndo mna unapenda kuja kupumzika huku

kwanini usiende uko uko kwenu ambapo mna eneo kubwa sanaaa ukachagua sehemu ya kupumzika

Yni akili za kijinga ndo zilokutawala
 
Kumbe mzee unaelewa kwamba hii si Mara ya kwanza, sasa kufunga kwenu ndo mfunge na migahawa yetu?
Nenda mkoani kwako kafungue mgahawa wako tuone kama utalalamika hpa
mkija kuishi sehemu za watu heshimuni tamaduni zao kama zinakukera njia nyeupeeeee
 
Nenda mkoani kwako kafungue mgahawa wako tuone kama utalalamika hpa
mkija kuishi sehemu za watu heshimuni tamaduni zao kama zinakukera njia nyeupeeeee
We mzee unaongea kiubishani tu huna points za msingi za kutetea upumbavu wenu
 
We mzee unaongea kiubishani tu huna points za msingi za kutetea upumbavu wenu
tatizo untka kila kitu kiende kma mlivozoea.

sisi tunalife letu na nyie mna life lenu
 
Point ni kwamba kwa nini waislam wakifunga wanazuia na wengine kula migahawani? Kwani wakristo na kwaresma wamewazuia waislam kula hadharani?
Hebu tujiulize nani alikua anaijua iyo kwaresma dunia nzima hpa iyo kwaresma imetambulika kma Ramadhani?

Nikuulize ww pia ulikua unafunga kwenye hiyo kwaresma?
 
Hata hpo unapofikia pamejengwa na wabara ndo mna unapenda kuja kupumzika huku

kwanini usiende uko uko kwenu ambapo mna eneo kubwa sanaaa ukachagua sehemu ya kupumzika

Yni akili za kijinga ndo zilokutawala
Natembelea mikoa mingi sana mkuu, mikoa yote ya Tanzania bara naijua tena vizuri tu; hi hanizuii mimi kwenda/kuja Zanzibar kutembea, ni sehemu ya matembezi yangu. Nyie ni wavivu halafu mnafikiria eti mkiachwa mtakua kama Qatar, Qatar ya Pemba?
 
We kama una pesa nenda ukatembee majuu mbona unapapenda kwetu ? Wavivu nyie au sie ambao mnaogopa ata kuzalisha watoto wa5
Au familia za wazenji.unawapa kula ww?
 
Hivi Zanzibar ni state inayoongozwa na sheria za Kiislamu?

Naona aliyesaini hapo ni Katibu Mkuu wa Wizara kabisa....

Inakuwaje Hii jambo?
 
We kama una pesa nenda ukatembee majuu mbona unapapenda kwetu ? Wavivu nyie au sie ambao mnaogopa ata kuzalisha watoto wa5
Au familia za wazenji.unawapa kula ww?
Wazenji hawajui lishe wao asubuhi wanakula boflo na chai mchana wanakula ubwabwa na michuzi ya mimaji usiku hawali , ndiyo maana binti waki Zanzibar wanyonge hawaja nona hawa matako wamekondeana hawana mvuto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazenji hawajui lishe wao asubuhi wanakula boflo na chai mchana wanakula ubwabwa na michuzi ya mimaji usiku hawali , ndiyo maana binti waki Zanzibar wanyonge hawaja nona hawa matako wamekondeana hawana mvuto

Sent using Jamii Forums mobile app
tuachieni wnyw mbona wakija huko mnawafukuzia farisayo au kardayo ww?
 
Hamia Dar kipindi cha mfungo ,wazanzibari tutaendelea na utaaratibu wetu tangu enzi za babu.
kweli enzi za babu yako alie utumwani alifungwa minyororo na akazuiwa kula kilazima na sultani, sishangai nawe ukirithi udhalimu huo maana kipindi hiko mlikuwa mnachapwa na mijeledi kabisa na hao “ndugu zenu wa damu" kama mnavyowaita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…