kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,470
Kwahiyo wote wenye biashara ni wa Islam.Hujakatazwa kula kwako kama mwenye biashara yake kafunga apate utulivu na mola wake sasa wewe kinakusumbuan nii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wote wenye biashara ni wa Islam.Hujakatazwa kula kwako kama mwenye biashara yake kafunga apate utulivu na mola wake sasa wewe kinakusumbuan nii.
Halafu wanataka ku Implement Sharia Law yao katika nchi nyingineHawa watu wana matatzo sana Dunia ipo salama ikiongozwa na mzungu ingeongozwa na waarabu tungekoma
eti tradition tokea lini?, yaani harakati za sultan seyyid na kina Bargash kuwazuia watumwa na wakazi wengine kula mchana wakati wa mfungo ndio mnaziendeleza mpaka kesho?, hahah kweli mtumwa ni mtumwa tu hata aweje bado ile minyororo ikitoka mikononi huwa inabaki akilini, hii bidii mngeiweka kwenye kusisitiza umuhimu wa elimu na kupinga ushoga mngekuwa mbali sana
wakati tangazo lishasema biashara zifungwe sasa dini ya haki wapi wakati watu wanalazimishwa kufanya hivyo?? huo utaratibu alianzisha sultan Bargash na wenzake nanyi mmeurithi mpaka leo, kweli watumwa ni watumwa tuZanzibar waliowengi si ni waislamu shida ipo wapi?
Na pia kuna waislamu ambao wanaruhusiwa kutokufunga (kisheria) kama wasafiri, wagonjwa, watoto, wazee, wanawake waliopo kwenye ada zao, na wajawazito au wanaonyonyesha n.k
Hawa nao wanaingia kwenye hili katazo.
Lakini watu baada ya kuona katazo tu basi moja kwa moja wanaona limewalenga wasiokuwa waislamu.
Na vipi muislamu ambaye anaacha biashara yake ya chakula kupisha mwezi mtukufu, huyu naye hataki kipiga pesa ili awakomoe wasiokuwa waislamu?
Hii dini ya haki haimkandamizi yeyote.
Bakia nyumbani kweni ivi ukiwa KAHAMA si unakua free baki huko basiHivi kwanini Wazanzibari wasikamatwe na kufungwa? Hawa watu kwa kweli wana matatizo ya kiakili, yaani mtu unalazimishwa kufunga, ni wapi Mungu kakataza watu wasile mchana?
Fakhari naona mm kulinda tamaduli zetu ambazo Mitanganyika kila ikijitahid inashindwa kabixaDuh
Aibu naona mimi aisee
Huo ni mkoa tu acheni kujitutumua
Watu kuwa wengi wa dini moja haimaanishi watu wafuate taratibu za dini hiyo. Dini ni mali yako chumbani public kila mtu hana diniZanzibar waliowengi si ni waislamu shida ipo wapi?
Na pia kuna waislamu ambao wanaruhusiwa kutokufunga (kisheria) kama wasafiri, wagonjwa, watoto, wazee, wanawake waliopo kwenye ada zao, na wajawazito au wanaonyonyesha n.k
Hawa nao wanaingia kwenye hili katazo.
Lakini watu baada ya kuona katazo tu basi moja kwa moja wanaona limewalenga wasiokuwa waislamu.
Na vipi muislamu ambaye anaacha biashara yake ya chakula kupisha mwezi mtukufu, huyu naye hataki kipiga pesa ili awakomoe wasiokuwa waislamu?
Hii dini ya haki haimkandamizi yeyote.
Hamia Dar kipindi cha mfungo ,wazanzibari tutaendelea na utaaratibu wetu tangu enzi za babu.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]asee jamaa huwa hawajiamini kabisa kwani we umefunga mi sijafunga kuna shida gani mi nakula we usile mbona mungu anaona tuu...
Nikila mgahawani kwanini unifuate?Hawajazuia kula
Ukiwa na chakula chako nyumbani kwako hakuna atakayekufuata
Kwahiyo kila muislam ni mzenji sio?Kivipi??Kwanza Kwa idadi hata Bara waislam ndiyo wengi Kuliko dini nyingine
Watu wenye iman tofauti Mwezi huu wanakulaga jeshini au mesi za polisiNikila mgahawani kwanini unifuate?
Nani kasema?Kwahiyo kila muislam ni mzenji sio?