Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Kwa nini wanawapangia watu wale vifichoni?Ili tukujue umefunga kwa nia njema unapaswa kuvuka mitihani ya kuwaona wengine wakila bila weye kupata sonona.
Mkienda kwao fata taratibu zao nawao wakija huko wanafanya hivio
 
Mkienda kwao fata taratibu zao nawao wakija huko wanafanya hivio
Mimi nikila unaniona unaumia nini?Uroho huo na kushindwa kuihimili funga yako.Kwani ukifunga ndiyo kila mtu asononeke nawe?Onesha ustahamilivu,heshima na usiri wa funga yako.Unataka kila mtu ajue ni wewe uliyefunga?😂
 
Back
Top Bottom