Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

Sasa mkuu huo utalii unauona ni jambo dogo? Hebu Tazama Seychelles, Mauritius na Dubai zilipo, ni utalii tu hakuna jengine.
Dubai waliweza kufanikiwa baada ya kuamua hela za mafuta wanazopata kuwekeza katika miundombinu, afya na elimu, ambapo iliweza kuvutia wageni wengi na uwekezaji wa kibiashara. . . ambapo kwa sasa utalii na biashara ndio zinaleta hela nyingi zaidi
Kati ya watu waliopo Dubai takribani milioni 3.5 wageni ni wengi kuliko wazawa na hata ukiangalia jumla kamili kati ya watu takribani milioni 10, wageni ni 89%

sasa nyie huko visiwani wageni wakija kidogo tu mnatoa macho ka mmebanwa na mlango mara oh wabara wanataka kutumeza na huku mmejazana huku bara kama wote

ni ngumu kuendelea sababu mna akili za kitumwa ambazo masultani wa kiarabu waliwaachia hivyo ngumu kuendelea sababu hamjielewi
 
Haa ha ha ha, Seychelles na Mauritius hawa hawa ambao wacheza mpira wao wakijaga Dar wanashangaa maghorofa ya Kariakoo na posta? Dubai ina combination of issues bro, open up your minds, Dubai ni soko, Dubai wamewekeza hasa, kuna kila aina ya biashara pale and this is because of their leader(s) kua creatives, haijaendelea because of geographical location. Najaribu kumuonesha mtu yule ambaye alisema eti Zanzibar ikiachana na muungano itakua kama Qatar, it will not just happen because of the it's location, bidii, ubunifu na commitment, that's it na wanashindwa kufanya hivo hata sasa? Muungano unawazuia nini?
Mkuu Seychelles na Mauritius usizichukulie Poa, Zipo mbali sana.
 
Dubai waliweza kufanikiwa baada ya kuamua hela za mafuta wanazopata kuwekeza katika miundombinu, afya na elimu, ambapo iliweza kuvutia wageni wengi na uwekezaji wa kibiashara. . . ambapo kwa sasa utalii na biashara ndio zinaleta hela nyingi zaidi
Kati ya watu waliopo Dubai takribani milioni 3.5 wageni ni wengi kuliko wazawa na hata ukiangalia jumla kamili kati ya watu takribani milioni 10, wageni ni 89%

sasa nyie huko visiwani wageni wakija kidogo tu mnatoa macho ka mmebanwa na mlango mara oh wabara wanataka kutumeza na huku mmejazana huku bara kama wote

ni ngumu kuendelea sababu mna akili za kitumwa ambazo masultani wa kiarabu waliwaachia hivyo ngumu kuendelea sababu hamjielewi

Sasa kwanini munaendelea kuing'ang'ania ?
 
Sasa kwanini munaendelea kuing'ang'ania ?
mlivyo vichwa panzi tukiwaacha mbaki wenyewe mtaanza kukatana mikono na kupigana mawe mpaka kufa kwa sheria za kuiga kutoka mataifa ya mbali ambayo kabla ya kuwapa hizo sheria, walicharaza bakora, wakawanajisi, wakawahasi, wakawatumikisha kwenye mashamba, wakawauza watumwa n.k kisha ndo mkazipata, na hamtaishia hapo pia mkimaliza wenyewe kwa wenyewe mtaanza siasa kali na kutaka kuleta upuuzi wenu wa kujitoa mhanga huku bara.

hivyo kulinda usalama wetu lazima tuhakikishe, kila kinachoingia huko tunafahamu na nyie tunawacontrol
 
Basi musilalamike, Tulieni tu dawa ikuingieni
 
Tendo kubwa ambalo linaonekana moja kwa moja kufanywa na waislamu katika kipindi hiki cha mfungo ni kujizuia kunywa na kula kutoka alfajiri (kuchomoza kwa jua) mpaka magharibi (kuzama kwa jua).
Visiwani Zanzibar, kula hadharani wakati wa mchana wa Ramadhan ni jambo ambalo hupigwa marufuku na mamlaka.
Japo visiwa vivyo havifuati sheria za kiislamu, wengi wa wakaazi wake ni waislamu na dini hiyo inaathiri kwa kiwango kikubwa maisha ya kijamii visiwani humo.
Katika mazingira hayo, migahawa ya chakula hufungwa wakati wote wa mchana na kufunguliwa mara tu baada ya muadhini wa sala ya magharibi.
Je watu ambao hawafungi wanapata vipi chakula cha mchana? Mwandishi wa BBC Eagan Salla alitembelea visiwa hivyo na hii ni taarifa yake.
InShot_20230323_114853697.jpg
 
Kuna jirani yangu musilam hapa handeni yeye ikifika saa tisa anaamka anakula had saa 11 anakula tena kisha anaenda msikitini, sasa siku moja akanikuta nakula mchana akanimaindi mbaya.

Nikamwmabia mzee wangu wewe tayari umekula asubuh saa tisa sijakusumbua, saa 11 nakusikia unakula tena sijakusumbua kwanini mimi kula kwangu iwe kero? jamaa akanijibu ukila hadharani mm naona njaa
Nikamjibu nikamwambia ndio maana ya kufunga sasa, ukiwa unakiona na ukaweza kushinda tamaa au njaa yako ndio funga yenyewe.

wasilam wanafunga kwa kujilazmisha,kutimiza matakwa ya dini yao ila ki ukweli wengi hawapendi wakifunga tu wanakula usiku kucha kama mchwa.
 
Kula watu watakula kama kawaida. Sio kila mtu anaamini imani hiyo. Zanzibar inapenda sana kukumbatia mila na desturi za walioleta dini hiyo huko. Imeshakuwa ni utamaduni wa taifa zima wakati kimsingi hiyo nchi si ya kiislam japo inapenda kuwa hivyo kutokana na kuwepo kwa vinasaba vingi vya walioleta utamaduni huo kukita mizizi yao hadi leo
 
😂😂😂😂asee hawa jamaa bhana hizi dini tumeshikishwa ila wao wameshikwa vibaya sijuii kwanni hawagutuki sasa unalazimisha watu kufunga kwani we ukifunga ukiona mgahawa unawaza kula au njaa inaongezeka...?
 
Back
Top Bottom