Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Dubai waliweza kufanikiwa baada ya kuamua hela za mafuta wanazopata kuwekeza katika miundombinu, afya na elimu, ambapo iliweza kuvutia wageni wengi na uwekezaji wa kibiashara. . . ambapo kwa sasa utalii na biashara ndio zinaleta hela nyingi zaidiSasa mkuu huo utalii unauona ni jambo dogo? Hebu Tazama Seychelles, Mauritius na Dubai zilipo, ni utalii tu hakuna jengine.
Kati ya watu waliopo Dubai takribani milioni 3.5 wageni ni wengi kuliko wazawa na hata ukiangalia jumla kamili kati ya watu takribani milioni 10, wageni ni 89%
sasa nyie huko visiwani wageni wakija kidogo tu mnatoa macho ka mmebanwa na mlango mara oh wabara wanataka kutumeza na huku mmejazana huku bara kama wote
ni ngumu kuendelea sababu mna akili za kitumwa ambazo masultani wa kiarabu waliwaachia hivyo ngumu kuendelea sababu hamjielewi