Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamezuiya kula hadharani usiwe mnafiq wewe unaisha Zanzibar?Wakristo tuliopo Zanzibar tunanyanyaswa kiukweli[emoji134] kanisani Anglican huwa wanapika, ngoja tuone kama watazuia na pale...
Hivi kwanini hawa jamaa hawanaga visogo ? ,Je hiyo space ambayo kilifaa kuwepo kisogo na ndani yake ubongo ambayo hawana, hii sio kusema wana ubongo mdogo na akili ndogo ?Warudi kwao eti? Tukiamua kufanya ubaguzi ninyi visogo-chapati mtapona?😂😂😂😂
Wakristo je? Inawahusu?Tendo kubwa ambalo linaonekana moja kwa moja kufanywa na waislamu katika kipindi hiki cha mfungo ni kujizuia kunywa na kula kutoka alfajiri (kuchomoza kwa jua) mpaka magharibi (kuzama kwa jua).
Visiwani Zanzibar, kula hadharani wakati wa mchana wa Ramadhan ni jambo ambalo hupigwa marufuku na mamlaka.
Japo visiwa vivyo havifuati sheria za kiislamu, wengi wa wakaazi wake ni waislamu na dini hiyo inaathiri kwa kiwango kikubwa maisha ya kijamii visiwani humo.
Katika mazingira hayo, migahawa ya chakula hufungwa wakati wote wa mchana na kufunguliwa mara tu baada ya muadhini wa sala ya magharibi.
Je watu ambao hawafungi wanapata vipi chakula cha mchana? Mwandishi wa BBC Eagan Salla alitembelea visiwa hivyo na hii ni taarifa yake.
View attachment 2562501
kwanini? Uislamu unanihusu nini mimi?kula hadharani
Jambo limefanyika Zanzibar wewe unawalaumu waarabu rais wa Zanzibar na makamu wake na wabunge ni watanzania muarabu hapa kaingiaje?chuki mbaya mwesowe utajichukia mwenyewe huyo mzungu unae msifia uzuli wake nn?Hawa watu wana matatzo sana Dunia ipo salama ikiongozwa na mzungu ingeongozwa na waarabu tungekoma
Serikali ya Zanzibar imejaa unafiq mtupuHiyo marufuku ni kwa niggers tu lkn 5 Star Hotels wanauza siyo tu chakula hata drugs na Ukahaba rukhsa!
Kwao wapi?Hawa wazanzibar walioko uku bara tuwatimue warudi kwao
Tusiende huko tutakufuru.Nadhani ni uumbwaji tu.Sijui chochote.Hivi kwanini hawa jamaa hawanaga visogo ? ,Je hiyo space ambayo kilifaa kuwepo kisogo na ndani yake ubongo ambayo hawana, hii sio kusema wana ubongo mdogo na akili ndogo ?
Hiyo chuki tu inakusumbua ulitaka some tulisujudie sanamu la bikira mariya,hapa ulipo ukiulizwa funga maana nini uwezi jibu utabaki kujiuma umatuHuwa wanabadili ratiba ya mlo kutoka mchana kwenda usiku.
Mana jua likizama tu wanakula usiku kucha kama viwavijeshi.
#MaendeleoHayanaChama
Mwafrika ni baba yako babu bibi yako mama yako ndugu zako wewe mwenyewe kitendo cha kuwa kataa hawa kinaonyesha ulivio kuwa mpumbafu heti unakubali mzungu[emoji14][emoji14][emoji14]Mwarabu sehemu yeyote aliyokaa na kutawala Africa Kuna vita, njaa na ujinga mkubwa saana.
Mwarabu Hana akili tu Kama mwafrica.
Mwarabu simkubali saana.
Ni 1 tu duniani ukirisito sio dini unabisha lete andiko linalo sema ukirito diniDini bora haigopi competition wala kupiganiwa ujipigania yenyewe
Mbusu jiwe , nimekuitwa kule tuwe tuna post machakula mazito ya mwezi wa kula Sana RamadhaniHiyo chuki tu inakusumbua ulitaka some tulisujudie sanamu la bikira mariya,hapa ulipo ukiulizwa funga maana nini uwezi jibu utabaki kujiuma umatu
Ulipaswa umjibu kwa hekima na ushahidi mwema wa alichokieleza.Badala yake,umezidi kuharibu kwa kashfa kwa wengine.Subhanallah!Hiyo chuki tu inakusumbua ulitaka some tulisujudie sanamu la bikira mariya,hapa ulipo ukiulizwa funga maana nini uwezi jibu utabaki kujiuma umatu
Nipo Zanzibar mzee we kama hujui ya huku tulia....kula hadharani ni ipi; nafikiri unamaanisha kula ukiwa njiani sivyo? Kula ndani ya mgahawa ni hadharani pia? Migahawa imefungwa, hilo unalionaje!Wamezuiya kula hadharani usiwe mnafiq wewe unaisha Zanzibar?
Kwani uislam ni diniNi 1 tu duniani ukirisito sio dini unabisha lete andiko linalo sema ukirito dini
Hata biblia inasema yoyote asie muabudu mungu 1 ni kafiriWazanzibar wabaguzi saana Yani mtu akisikia wewe ni dini tofauti na yeye anakuona Kama hutoboi mbinguni na usikae nae karibu... Kafir mkubwa.
Wanamuona Mungu kama anawajua kwa majina kwa wao kuamua kuwa wasilamu.
Wanakera saana.