Unajuaje kama hua siendi majuu? Mbona unababaika babaika tu na point zako, nyie mnakulaga nini huko? Urojo? Eti nyie mnazaa watoto wengi? Mzanzibari gani anao watoto walau 10 akiwa huko kwenu? Acheni kujidanganya, hamna uwezo huo nyie, ukitaka kujua hata watoto hamzai kama bara, jiulize swali dogo tu ambalo halihitaji hata elimu kubwa, miaka 10 iliopita Zanzibar na Pemba mlikuwa wangapi na sasa hivi mpo wangapi? Then njoo bara, miaka 10 iliopita tulikua wangapi na sasa tupo wangapi? Hauli chakula cha maana utazaa watoto wengi? Don't kid yourself brother